Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu kumbe tupo wote? Huu mwaka ni wetu, tunabeba hii.Go go Gunners 💪💪💪
Hapana mkuu. Yakukata na shoka ni koppenhagen vs MancityInter Milan Vs Atletico Madrid
Itakuwa mechi ya kukata na shoka
Cc hydroxoSafi sana Wanangu wa Napoli huyo barca limebaki jina tu, Barca wajiandae kisaikolojia.
Porto wasumbufu sana itakuwa mechi kaliBabu kumbe tupo wote? Huu mwaka ni wetu, tunabeba hii.
Walitutoa EUROPA last season, nawajua sana.Porto wasumbufu sana itakuwa mechi kali
Wale walikuwa BenficaWalitutoa EUROPA last season, nawajua sana.
Mi nimewachanganya kidogo na Wareno wenzao, walikuwa Sporting CP.Wale walikuwa Benfica
Sure na mm nimejichanganya.Mi nimewachanganya kidogo na Wareno wenzao, walikuwa Sporting CP.
AiseeeBabu kumbe tupo wote? Huu mwaka ni wetu, tunabeba hii.
Mara zote Babu yenu hupenda vitu vizuri tu 🤗Babu kumbe tupo wote? Huu mwaka ni wetu, tunabeba hii.