Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Babu wewe kiboko ๐ ๐ ๐Mara zote Babu yenu hupenda vitu vizuri tu ๐ค
Tukikomaa tunaenda hatua inayofuata maana tunaanzia Ugenini then tunamalizia Nyumbani Emirates.
Mungu ajalie tucheze Fainali kisha tutawazwe mabingwa wapya 2023/2024 ๐ช๐ช
Na iwe kheri maana nikikumbuka fainali za 2006 sitokaa nisahau, nililia machozi!