Ligi ya Mabingwa Ulaya: Droo ya 16 Bora kufanyika leo Jumatatu Mchana

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
 
Babu kumbe tupo wote? Huu mwaka ni wetu, tunabeba hii.
Mara zote Babu yenu hupenda vitu vizuri tu 🤗

Tukikomaa tunaenda hatua inayofuata maana tunaanzia Ugenini then tunamalizia Nyumbani Emirates.

Mungu ajalie tucheze Fainali kisha tutawazwe mabingwa wapya 2023/2024 💪💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…