Babu wewe kiboko π π πMara zote Babu yenu hupenda vitu vizuri tu π€
Tukikomaa tunaenda hatua inayofuata maana tunaanzia Ugenini then tunamalizia Nyumbani Emirates.
Mungu ajalie tucheze Fainali kisha tutawazwe mabingwa wapya 2023/2024 πͺπͺ
Nyie ni tembo juu ya mti...hatujui mmefikaje ila tuna uhamika mtadondoka tuuBabu kumbe tupo wote? Huu mwaka ni wetu, tunabeba hii.
Amka Mkuu, hiyo ni ndoto mbaya unaota.Nyie ni tembo juu ya mti...hatujui mmefikaje ila tuna uhamika mtadondoka tuu
Muda utasemaAmka Mkuu, hiyo ni ndoto mbaya unaota.
Pole sana MjukuuBabu wewe kiboko π π π
Na iwe kheri maana nikikumbuka fainali za 2006 sitokaa nisahau, nililia machozi!
Mimi kuna wakati nilikuwa natamani kuingia uwanjani nicheze timu ipate ushindi kwa ajili yake, nampenda sana Wenger.Pole sana Mjukuu
Sisi wengine Arsenal imetufanya tuwe Sugu
Kuna wakati hadi nilitamani nikachukue short course ya Ukocha nikam-replace Mzee Wenger
Ni kweli Mzee aliitoa mbali timu yetu lakini kuna wakati uvumilivu ulikuwa unatushinda mashabiki.Mimi kuna wakati nilikuwa natamani kuingia uwanjani nicheze timu ipate ushindi kwa ajili yake, nampenda sana Wenger.
There was a time, timu ikifungwa naumia juu yake...
He is like a father to me! A loving father.
Walitutoa EUROPA last season, nawajua sana.
Mashabiki wenzangu wa Gunners mnaniangushaWale walikuwa Benfica
Semenya Barca ni chama kubwa sana.
Mungu ibariki porto hakika wale tembo hawana walijualo kwenye mashindano hayaKutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na naniView attachment 2845876
Ati Manunu? π πNi kweli Mzee aliitoa mbali timu yetu lakini kuna wakati uvumilivu ulikuwa unatushinda mashabiki.
Imagine ile loss ya bao 8-2 dhidi ya Manunu, it real pained us
Wanasema Wanaume na Wanawake ambao ni mashabiki wa Arsenal huwa wavumilivu sana kwenye mahusiano yao na ndoa pia.
Bado naendelea kuandika kitabu, ikifika kukusanya Data nitapiga hodi kwako na kwa Mkwe wangu hapo nyumbani π
Hao Manunu wana mdomo sana hao lakini miaka ya hivi karibuni tunawafunga sana sio kama enzi za WengerAti Manunu? π π
Kwenye uvumilivu nathibitisha hilo kupitia mimi mwenyewe, teh!
Sasa itakuwaje Babu? Mkweo ni team Manunu na juzi alinikumbusha hiyo loss nikawasha moto akatulia.