Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali
Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili Real Madrid ili kuamua timu itakayoifuata City Fainali
Ili kutinga Fainali, Chelsea inahitaji sare tasa au ushindi wowote huku Madrid wakihitaji sare ya zaidi ya bao moja au ushindi wowote
- Je, Waingereza watakutana Fainali au Zidane ataibuka kidedea?