Ligi ya Madam na Mchaga..

Ligi ya Madam na Mchaga..

Baada ya kusoma mara tatu ndo nimeonja sukari yake. Uliificha kweli
 
MADAM RITHA WA BONGO STAR SEARCH NAYE 28??? HAPO UMEWRONG DADA YULE 40YRZ NA WOLPER 35YRZ NA AUNT 30YRZ KAMA WEMA

Hahahahaha jamii ucwe km me wa dar!!!madam ninayemuongelea mm ni wema hyo rita anashiaga star search tu afu kuhsu age hao wte hamna alofika 30 labda uwe mihemko yko tu!!!!na vivulana vyao hamna alofika 25!!!!
 
Maselebriti watu wazima, Madam wa Biesiesi na huyu Jacky Mchaga wanafanana sana tabia.. Hawa ni ndege? Nachozungumzia ni tabia ya kuruka na vi-underage.. Imo damuni mwao!

Nisameheni mie sijui kuandika vizuri, ila nitajitahidi kueleweka..

Siku nyingi sana niliwahi kusikia kuhusu Mchagga kutoka na Kibanio, kipindi anamiliki Saluni yake pale Ilala.. Kibanio aliwahi kufunguka alipoulizwa kuhusu kutoka na overage na kujitetea 'mchaga mwenyewe sio mkubwa kiihivyo'.. Hayo yakapita.

Mchagga baada ya kupata kiki town akarukia kwa Plate Number na kumrithisha Kibanio kwa Madam Biesiesi (sijui ni hiari au kwa kuchepukwa).

Kwa pleti namba akauza nyago pia kwa muda mfupi, nae akampasishia kwa Mama Ubaya.. Hapo akapumua kidogo kwanza ili kutunisha kamfuko kake. Ndipo akaanza kuripotiwa kutoka na wakina Mashilingi na Wabolingo..

Ligi kwa upande wa Biesiesi ikaendelea kwa kasi lakini baada ya kuona kibanio kimechakaa na kimeanza kuota vidotidoti, akaamua kukitupa na kuhamishia uwekezaji kwa mmoja wa matunda yake ya Biesiesi (jina kwenye kikapu kwasasa).

Sasa Mchaga amerudi kwenye fomu. Amejidumbukiza kwenye zao la Pleti Namba ili kulichepua.. Swali la kujiuliza ni; Je, zao hili safari hii litapelekwa soko lipi baada ya mavuno?

Kodi hujibiwa kwa kodi!
Katika Fasihi uko Vizuri
 
haya yote mambo ya ndindindi, unakachukua unakalea unakala vitu vyake vyote alafu unatafuta shimo unakafukia, kakiibuka na kitoto kingine ka lwobo wa anti alaee watoto wawili , unachuna kule kama ndege unadondoshea hata kama hawajui unatoa wapi, hii ndio tanzania style.
 
Maselebriti watu wazima, Madam wa Biesiesi na huyu Jacky Mchaga wanafanana sana tabia.. Hawa ni ndege? Nachozungumzia ni tabia ya kuruka na vi-underage.. Imo damuni mwao!

Nisameheni mie sijui kuandika vizuri, ila nitajitahidi kueleweka..

Siku nyingi sana niliwahi kusikia kuhusu Mchagga kutoka na Kibanio, kipindi anamiliki Saluni yake pale Ilala.. Kibanio aliwahi kufunguka alipoulizwa kuhusu kutoka na overage na kujitetea 'mchaga mwenyewe sio mkubwa kiihivyo'.. Hayo yakapita.

Mchagga baada ya kupata kiki town akarukia kwa Plate Number na kumrithisha Kibanio kwa Madam Biesiesi (sijui ni hiari au kwa kuchepukwa).

Kwa pleti namba akauza nyago pia kwa muda mfupi, nae akampasishia kwa Mama Ubaya.. Hapo akapumua kidogo kwanza ili kutunisha kamfuko kake. Ndipo akaanza kuripotiwa kutoka na wakina Mashilingi na Wabolingo..

Ligi kwa upande wa Biesiesi ikaendelea kwa kasi lakini baada ya kuona kibanio kimechakaa na kimeanza kuota vidotidoti, akaamua kukitupa na kuhamishia uwekezaji kwa mmoja wa matunda yake ya Biesiesi (jina kwenye kikapu kwasasa).

Sasa Mchaga amerudi kwenye fomu. Amejidumbukiza kwenye zao la Pleti Namba ili kulichepua.. Swali la kujiuliza ni; Je, zao hili safari hii litapelekwa soko lipi baada ya mavuno?

Kodi hujibiwa kwa kodi!

Umetumia teknolojia ya hali ya juu. Sijaelewa chochote
 
Wapendwa, nina minuso mingi ya kuwaalika. Mnaweza kunifuatilia hapa hapa JF kila uchwao.. Huenda mkapata nyeti nyingi zaidi, japo mwendo wangu utakuwa ni huu huu (CODE)..

Sasa mnuso ujao ni tata zaidi. Lakini kwa sasa naongeza nyama kidogo kwenye ligi hii ya Madam na Mchaga... Kumbe bhana hii ishu sio ya Madam na Mchaga tu... Wamo wengi mno na kila siku wanaongezeka. Hata hivyo Madam na Mchaga watabaki kuwa ni alama ya utambulisho.. Kuna siri gani?

Tipu nyingine ni hii.. Si wote humu mnamfahamu Dada Pesa, ambae alikuwa na Mwana wa Sultani kwenye Mjengo wa Kaka Mkubwa pale Kusini kwa Makaburu? Ambao kwa sasa wako nje ya mjengo na wanashirikiana kikazi kwenye kituo cha Chaguo Fm, basi naye amejiunga kwenye mkondo huu wa ''Tete a tete''.

Pesa naye anahitaji mng'aro wa Silva kwa dogo Vanilla... Huyu Vanilla yuko kwenye falme ya Wachafu Beibe.. Zamani alikuwa TPTP kabla hajasainiwa na lebo ya Mwanamageuzi Plate Number.. Tuko pamoja?? Enhee, sasa Dada Pesa yuko resi haswaaa.. Na soon or later tutaanza kuona mapicha picha.

Hata kama hayatuhusu, lakini ni nini siri ya haya yote? Kwanini Ugumegume?!

Tukutane kwenye Mnuso mwingine, Kodi nyingine.
 
Huyu Wolper ataingia kwenye muziki kama wa akina shilole na Snura.
 
Enhe ya V-Pesa
 
Duuu Ubuyuu huu Udumu mileleee nasikiaaa Rahaa
 
Hii mada ni advanced topic ya wanaume wa dar, wa idindilimuyu au idete hawezi elewa hapa
 
Duuuh! This one is classic... Over rated! 5 stars!
 
Back
Top Bottom