Ligi ya NBC premier league haina tena imepoteza mvuto haina thamani yake sababu ya wapuuzi wachache

Ligi ya NBC premier league haina tena imepoteza mvuto haina thamani yake sababu ya wapuuzi wachache

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya ligi.

Unaweza ita washamba...bongo mpira wake ni wa matokeo ya mfukoni na uchawi iko wapi ligi yenye mvuto iko wapi ligi ya kujishungulisha kununua wachezaji bei mbaya ili hali ligi ni ya utani wa jadi Yanga kumzuia Simba kufanya mazoezi na kupeleka basi bunju ni utani wa jadi Simba kugomea mechi ni utani wa jadi bodi ya ligi kuahirisha mechi ni utani wa jadi ni washamba toka mashambani bado wanahangaika na upuuzi wa mpira wa bongo!
 
Huna akili tangu lin yanga amzuie simba kufanya mazoez wakat alie wazuia nimeneja wauwanja
 
Back
Top Bottom