Ligi ya NBC premier league haina tena imepoteza mvuto haina thamani yake sababu ya wapuuzi wachache

Ligi ya NBC premier league haina tena imepoteza mvuto haina thamani yake sababu ya wapuuzi wachache

Kaka kwani ligi ya bongo tangu lini ikawa na mvuto sema ukweli wako…
Ukitaka kujua kama inamvuto au aina mvuto waulize wenye pub,na mabanda umiza je kati ya mechi z ulaya na za nyumbani zipi wanapata fedha nyingi watakuambia
 
Simba ni mapumbavu! Wapi iliandikwa usipofanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi unasusia? Upumbavu mwingi sana!
 
Simba ni mapumbavu! Wapi iliandikwa usipofanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi unasusia? Upumbavu mwingi sana!
Kwa hiyo hiyo kanuni ya nini. Tatizo sio kuzuia tuu, kufanya fujo na kuwatoa mchezoni timu pinzani na kutishia usalama
 
Hapa mzeya ligi ni mechi 20 tuu baada ya hapo watu wanaanza kupiga biashara. Tena rimu ambazo zipo safe aisee ni kuwa nazo makini sana
 
Leo ndio unastuka? Huko nyuma hukuona timu za gsm zikimpa kaka yao free points au ulikuwa unafaidika?
Last season tumechukua points sita kwa comfortably, aggregate ya 7-2

This season first leg,tumekupasua,juzi umeleta visingizio kisa Camara na Beki wenu majeruhi,ukatimka......mechi nne mfululizo umepigwa..... nawewe kubali ni moja ya Tawi na unaharibu ligi maana huonyeshi ushindani
 
Mkuu hamia ulaya acha kushabikia upuuzi huo...Arsenal ashapigwa 8..manchester ashapigwa misimu ya karibuni na liverpool 7,5,4,3 ila hakuna mambo ya ajabu barcelona ashampiga madrid vipigo vya mbwa mwizi na hao ni mahasimu kweli hatujawahi ona vitendo vya ajabu watu wanapesa kweli kweli hakuna mdhamini mmoja kudhamini timu kumi....wala mmiliki wa Everton kuwa mjumbe wa baraza la wadhamini manchester city....mwanachama wa chelsea kuwa mkurugenzi mtendaji wa crystal palace...huwezi kuta wolves wanatoa kocha kuwapa Newcastle then wao wanabaki bila kocha ...wasemaji wa timu kuwa vituko kuliko vichaa ni upuuzi huo unaukuta bongo kwenye wapuuzi tu!
 
Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya ligi.

Unaweza ita washamba...bongo mpira wake ni wa matokeo ya mfukoni na uchawi iko wapi ligi yenye mvuto iko wapi ligi ya kujishungulisha kununua wachezaji bei mbaya ili hali ligi ni ya utani wa jadi Yanga kumzuia Simba kufanya mazoezi na kupeleka basi bunju ni utani wa jadi Simba kugomea mechi ni utani wa jadi bodi ya ligi kuahirisha mechi ni utani wa jadi ni washamba toka mashambani bado wanahangaika na upuuzi wa mpira wa bongo!
Kwa Leo nimekuelewa. Hao wote uliowataja Yanga, Simba, Bodi ya ligi matatizo yao yanalelewa na Huyo aliyeita wenzie wapuuzi. Mtu anayelinda brand ya taasisi yake asingeruhusu Simba wanyomwe haki yao Yuko kimya, asingeruhusu Mechi iahirishwe kiboya Yuko kimya Hadi anatuhumiwa yasiyostahili.
 
Maana ya dhana nzima ya kugawa majukumu ni nini?
 
Back
Top Bottom