kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hata sijui kama kuna upuuzi unachezwa hivi sasa tumejikita kwenye ligi za kweli huko ulaya!Mpaka kunawakati nikasema wachezaji wa Dodoma lamda Swaumu Kali.
Leo ndio unastuka? Huko nyuma hukuona timu za gsm zikimpa kaka yao free points au ulikuwa unafaidika?Mpaka kunawakati nikasema wachezaji wa Dodoma lamda Swaumu Kali.
Una akili sana mkuu!Kufatilia mpira wa Tanzania ni uwendawazimu !
Kadata kisa 6-0Leo ndio unastuka? Huko nyuma hukuona timu za gsm zikimpa kaka yao free points au ulikuwa unafaidika?
Huna lolote unafuatilia vizuriHata sijui kama kuna upuuzi unachezwa hivi sasa tumejikita kwenye ligi za kweli huko ulaya!
Kitendo Cha timu kufungwa 6 ni Moja ya indication hakuna ushindaniMtu kala chuma sita leo hazina kipengele labda ukilete wewe.Ligi safi hii uto walete timu tumekubali kanuni zivunjwe tu tutacheza
Na tena akifungwa na Simba!Kitendo Cha timu kufungwa 6 ni Moja ya indication hakuna ushindani
Laliga,EPL na ligi zote unazojua ulaya chuma sita zinafungwa tu mbona vizuri na ligi zao ushindani bado upo.Umeona chuma ya Kibu Denis lakini ya kichwaKitendo Cha timu kufungwa 6 ni Moja ya indication hakuna ushindani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kala chuma sita leo hazina kipengele labda ukilete wewe.Ligi safi hii uto walete timu tumekubali kanuni zivunjwe tu tutacheza
Kupitia wapi?!Huna lolote unafuatilia vizuri
Nimeacha kuingalia tangu waanze usenge wao wa kugaiana wachezaji na mtu mmoja kudhamini timu kibao!Kaka kwani ligi ya bongo tangu lini ikawa na mvuto sema ukweli wako…
Kupitia huko ulikojua kuwa simba imeshinda 6-0Kupitia wapi?!
Wewe ndio unanijulisha hapa..sio mpuuzi kufuatilia upuuzi!Kupitia huko ulikojua kuwa simba imeshinda 6-0