UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
Liga BBVA ndo ligi bora si uefa wala europa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma na hujaelewa! MEMKWA, vimistari vitatu unashindwa kuvielewa sasa ukipewa mistari 10 si utawaita wananzengo wenzako kabsa waje wakusaidie na kukuelekeza???point yako ni nini? Ungetaka kujua ningekufahamisha ili upanue hizo akili zako za matope. Ila kwa kuwa unataka tubishane Acha nikupotezee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe akil ndogo Hivi had leo hujiulizi kwa nini Suarez alichukua pichichi dhid ya Penado wakat wote walikuwa sawa kwa magoli. [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kigezokigezo gani umetumia kuiweka livapool namba 5 badala ya namba 3??? ndio maana nimekwambia wewe na wenzio hamjitambui! mbona ulikuwa unasema EPL haina mafanikio yoyote UEFA???
wewe huna tofauti na huyo mwenzio, WAHAMIAJI HARAMU.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe akil ndogo Hivi had leo hujiulizi kwa nini Suarez alichukua pichichi dhid ya Penado wakat wote walikuwa sawa kwa magoli. [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kigezo
PENALTY Haya nenda shule
Ushahamisha mada[emoji1] [emoji1]wewe huna tofauti na huyo mwenzio, WAHAMIAJI HARAMU.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] nilikuelewa vbaya nishafuta post yanguMaana ake competition ni kubwa,ndo maana gap kubwa
Hahahaha. Sawa nimekuelewa ligi ya england ni bora imechukua vikombe vingi na liverpool ndiyo timu inayoongoza kuchukua mara nyingi kombe la ucl. Nadhani hapo utakuwa umeridhika. I'm out.Umesoma na hujaelewa! MEMKWA, vimistari vitatu unashindwa kuvielewa sasa ukipewa mistari 10 si utawaita wananzengo wenzako kabsa waje wakusaidie na kukuelekeza???
i'm out!
laliga yaweza kuwa bora ila si ngumuWalio juu yangu wamechangia vzur na hawajabishiwa KIDUNIA LIGI BORA na NGUMU DUNIANI NI LA LIGA BBVA.
unapozungumzia ligi ya uingereza usitaje europa.ligi ni zile timu za nchi na ushindani uliopo.epl na la liga ipi ina ushindani.tofautisheni ligi bora na timu bora.kiushindani ligi ya hispania haina ushindani kama ya england.ila kwa uzuri wa timu la liga ina timu nzuri.sasa epl na timu zake,na hispania na timu zake msisimko na ushindani vipoje.tuendelee hapahatutazami watu wanafungana vipi....kwa epl kikubwa ni kwamba timu hazitofautiani sana uwezo tofaut na spain...tazama zinavyofanya UEFA na eurpoa utafaham nn namaanisha ......ligi ya spain ina ubora ila epl ina mashabiki wengi
Wana ushindani kwa sababu wote EPL wanafanana kwa ubora wao dhaifu lakini La liga wana ubora ulio imara na Madrid,Barca,Atl M wako imara zaidi ya wenzao ndio inayopelekea kuwa na tofauti kubwa ya points. Kingine angalia hata wachezaji bora wa Dunia wanatoka wapi mara nyingi kama si La Liga. Angalia hata uhamisho wa wachezaji wa ligi zingine wanavyotamani kucheza la liga.unapozungumzia ligi ya uingereza usitaje europa.ligi ni zile timu za nchi na ushindani uliopo.epl na la liga ipi ina ushindani.tofautisheni ligi bora na timu bora.kiushindani ligi ya hispania haina ushindani kama ya england.ila kwa uzuri wa timu la liga ina timu nzuri.sasa epl na timu zake,na hispania na timu zake msisimko na ushindani vipoje.tuendelee hapa
hapo ndio penye pointi yenyewe ni wabovu lakini wanakimbizana wenyewe kwenye ligi yao.kwa ubovu wao wanasababisha msisimko mkubwa,na wao kwa ujumla wao wanaitwa ligi mbovu yenye ushindani mkubwa.la liga wana timu nzuri kama malaika lakini wana timu nzuri na bora sana.ila bahati mbaya kwa ubora wao matokeo ya ligi yao yanatabirika.tutofautishe ligi kwa ujumla wake na ubora wa club za nchi na nchi.Wana ushindani kwa sababu wote EPL wanafanana kwa ubora wao dhaifu lakini La liga wana ubora ulio imara na Madrid,Barca,Atl M wako imara zaidi ya wenzao ndio inayopelekea kuwa na tofauti kubwa ya points. Kingine angalia hata wachezaji bora wa Dunia wanatoka wapi mara nyingi kama si La Liga. Angalia hata uhamisho wa wachezaji wa ligi zingine wanavyotamani kucheza la liga.