Ligi ya nchi gani ndio bora sana duniani?

point yako ni nini? Ungetaka kujua ningekufahamisha ili upanue hizo akili zako za matope. Ila kwa kuwa unataka tubishane Acha nikupotezee.
Umesoma na hujaelewa! MEMKWA, vimistari vitatu unashindwa kuvielewa sasa ukipewa mistari 10 si utawaita wananzengo wenzako kabsa waje wakusaidie na kukuelekeza???
i'm out!
 
kigezo gani umetumia kuiweka livapool namba 5 badala ya namba 3??? ndio maana nimekwambia wewe na wenzio hamjitambui! mbona ulikuwa unasema EPL haina mafanikio yoyote UEFA???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe akil ndogo Hivi had leo hujiulizi kwa nini Suarez alichukua pichichi dhid ya Penado wakat wote walikuwa sawa kwa magoli. [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kigezo
PENALTY Haya nenda shule
 
wewe huna tofauti na huyo mwenzio, WAHAMIAJI HARAMU.
 
Umesoma na hujaelewa! MEMKWA, vimistari vitatu unashindwa kuvielewa sasa ukipewa mistari 10 si utawaita wananzengo wenzako kabsa waje wakusaidie na kukuelekeza???
i'm out!
Hahahaha. Sawa nimekuelewa ligi ya england ni bora imechukua vikombe vingi na liverpool ndiyo timu inayoongoza kuchukua mara nyingi kombe la ucl. Nadhani hapo utakuwa umeridhika. I'm out.
 
Reactions: PNC
dortmund walipocheza na totenham ambao ndio wanasaka ubingwa pia walipiga shuti mbili tuu tuone hao liver nao Epl ligi nyepesi
 
hatutazami watu wanafungana vipi....kwa epl kikubwa ni kwamba timu hazitofautiani sana uwezo tofaut na spain...tazama zinavyofanya UEFA na eurpoa utafaham nn namaanisha ......ligi ya spain ina ubora ila epl ina mashabiki wengi
unapozungumzia ligi ya uingereza usitaje europa.ligi ni zile timu za nchi na ushindani uliopo.epl na la liga ipi ina ushindani.tofautisheni ligi bora na timu bora.kiushindani ligi ya hispania haina ushindani kama ya england.ila kwa uzuri wa timu la liga ina timu nzuri.sasa epl na timu zake,na hispania na timu zake msisimko na ushindani vipoje.tuendelee hapa
 
Wana ushindani kwa sababu wote EPL wanafanana kwa ubora wao dhaifu lakini La liga wana ubora ulio imara na Madrid,Barca,Atl M wako imara zaidi ya wenzao ndio inayopelekea kuwa na tofauti kubwa ya points. Kingine angalia hata wachezaji bora wa Dunia wanatoka wapi mara nyingi kama si La Liga. Angalia hata uhamisho wa wachezaji wa ligi zingine wanavyotamani kucheza la liga.
 
Premier League.

Sababu: Timu ndogo kama Leicester zinazipa timu kubwa zilizozoeleka kama vile Man City, Arsenal, United etc
 
Mimi nimefuatilia lig ya England kwa muda mrefu sana... Na ni mshabik mkubwa wa Manchester united.... Lakini kutoka na ukweli kuwa lig ya england kufanya vibaya kwenye mivhuano ya uefa hiii inaonesha EPL imepungua makali yake kama hapo mwanzo....... Aisee kwa sasa nimeangalia bundesliga ...kwa kweli hii lig no ngumu sana.... Na inamvuto mkubwa sana....to me #bundesliga. Is the best league in the world
 
hapo ndio penye pointi yenyewe ni wabovu lakini wanakimbizana wenyewe kwenye ligi yao.kwa ubovu wao wanasababisha msisimko mkubwa,na wao kwa ujumla wao wanaitwa ligi mbovu yenye ushindani mkubwa.la liga wana timu nzuri kama malaika lakini wana timu nzuri na bora sana.ila bahati mbaya kwa ubora wao matokeo ya ligi yao yanatabirika.tutofautishe ligi kwa ujumla wake na ubora wa club za nchi na nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…