Ligi ya Tanzania inavurugwa kwa maksudi, upangaji matokeo unatawala

Ligi ya Tanzania inavurugwa kwa maksudi, upangaji matokeo unatawala

Hilo halina ubishi,Simba kuna mechi ziliahirishwa kihuni tu,Nimemsikiliza Wambura anaongea pumba tu
 
Bongo ligi imejaa michuano ya ajabu ajabu isiyo na maana yoyote

Mara sijui muungano cup, mara sijui magufuli cup ujinga ujinga tuuu...

Na hapo bado mwakani tatizo litajirudia tena, uzwazwa huuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafuu Simba Tutoke kwenye ili,Kombe ili Tujipe nafasi na Ligi.

Na hakika tukiendelee na Nusu FAINALI
Ligi itaisha tukiwa na viporo vyetu

LAKINI,Kutesa kwa zamu Mkuu.

Sisi tupo tunawahangaikia
Yanga
Azam
Mtibwa
mwakani waweze Kupanda Ndege.

Au Juhudi za Soka La Simba Hamzioni?

Mpaka Sasa,Simba inemfanikiwa kuitangaza Nchi.

Na Hata Kama tutaishia Robo FAINALI Bado mtatucheka na kutudhihaki
Ombi lenu Ni batili
Angalau Tusogee Hadi Nusu FAINALI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia tuangalie idadi ya timu ktk ligi yetu ni nyingi, kuna timu 20 wakati zingine kuna 16 au 17. Kumbuka pia Simba imecheza Mapinduzi Cup,Sport Pesa Cup, na Azam Confederation cup japo walitolewa mapema na wapo robo fainali klabu bingwa Afrika. Ligi kuu ilitakiwa timu 16 tu. Pia ligi kuu haina mdhamini timu nyingi zinapata shida kujikimu.
 
Hii Ni aibu kwa TFF na Board ya Ligi mpaka Sasa kwenye ligi kwenye ligi ya Tanzania Kuna vilabu vimebakiza mechi 5 kamaliza ligi huku Simba akibakiza mechi 16. Mpaka Sasa Simba hajacheza na hizi timi round zote mbili
Kagera sugar vs Simba
Simba vs kagera sugar
Mtibwa vs Simba
Simba vs mtibwa
Biashara utd vs Simba
Simba vs biashara utd
Simba vs Coastal unioni
Coastal union vs Simba
Mpaka Sasa ligi imebakiza mwezi na nusu kuisha je Simba watacheza mechi 16 ndani ya Muda huo?
Ikumbukwe ligi hawezi kusogezwa mbele Tena kwasababu timu ya Taifa inaitajika Muda wa maandalizi ya AFCON itakayoanza mwezi June katikati.
Viporo vya Simba Ni vya makusudi kwasababu katika timu zinazocheza ligi ya Mabingwa hakuna ligi imezidi viporo 5 yaani DRC Congo , South Africa, Tunisia na Morocco
Al Ahly pamoja na kupigwa 5 lakini Leo jumatano wanacheza mchezo wa ligi, huku Simba yeye amepumzika akisubiri ijumaa kwenda Congo.
Ligi yetu inakuwa Haina usawa.
View attachment 1067390View attachment 1067391
Sent using Jamii Forums mobile app
Jwanza Alhaly kimahesabu ametoka na hana chake champion. Lakini Simba leo anasafiri kwenda na wala haja kaa sehemu kumsubiri mpinzani. Lakini mazingira ya kongo magumu sana,kuna sehemu inabidi washuke ili watembee kwa miguu. Hii yote ili waasi wasisikie mlio wa gari maana wakisikia tu basi wawanakama na kuwatoa hadi helhela. This is Congo bro!
 
Mtoa mada,unadhani Al Ahly angekuwa anacheza ugenini Leo angeweza kucheza mechi ya ligi nchini mwake halafu asafiri ugenini nje ya nchi kucheza mechi jumamosi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Je, hiyo ni kwa Afrika pekee? Mbona Barcelona walicheza jumamosi na Atletico Madrid, na jumatano hii(leo) wanakipiga ugenini na Manchester United?
 
Masikini hata ukimbeba vipi hana shukurani. Yanga hamuwezi kuchukua ubingwa,leo hii tunapigania nusu fainali ili nao waingizwe kimataifa,bado wanalalama
Mkuu naamini uko vizuri kwenye kuchanganua mambo zaidi ya hapa. Mleta mada yuko sahihi. Kuna muda tutangulize maslahi ya soka letu kwanzs. Hii ya timu kufikisha viporo 10 haijakaa sawa. Anyway unasema mnapigania Yanga acheze kimataifa vipi timu kama Biashara, Mbao, Singida na wengine wanatendewa haki kweli. Mwingine anapumzika wiki hadi mbili mwingine kila baada ya siku mbili ndio nini?!! Kwa hili hapana.
 
Kwa maslahi mapana ya soka letu la Tanzania Simba tumwache awakilishe nchi tuu maana tukipeleka Timu nne mwakani ligi yetu itakua miongoni mwa ligi 12 Bora Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom