ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nitajie team inayo toka Angola ambayo umefika robo fainali CAF champions league kama unaona ndio kigezoKutizama competition si rahisi, sababu unaweza kukuta ligi inaonekana ngumu kumbe wamekutana vilaza vitupu, muwakilishi wenu kimataifa ndio anathibitisha kama ligi ya kwenu nzuri au butu.
Leta vigezo walivyotumia ku-rank hizo nchi acha porojo.Nadhan ww ndo unakaza kichwa.......takwimu zimeelezea ligi bora ......but sio club bora....
Elewa mada
Na zote ziko competitive sana kwenye mashindano ya Africa, haya turudi bongo land nje ya Simba ni timu gani iko competitive kwenye mashindano ya nje?Kutokana na ubora wa vilabu vya nchin humo.........Tp mazembe , As Vita ......etc
Unazungumzia robo fainali? 😨 wewe jamaa mzima kweli Primera De Agosto 2018 ilifika semi final tena sio shirikisho ni champions league na ikatolewa na Esperance.Nitajie team inayo toka Angola ambayo umefika robo fainali CAF champions league kama unaona ndio kigezo
Nigeria, Zambia?Unazungumzia robo fainali? [emoji32] wewe jamaa mzima kweli Primera De Agosto 2018 ilifika semi final tena sio shirikisho ni champions league na ikatolewa na Esperance.
Bado unataka tuendelee?
Zambia tena 😖Nigeria, Zambia?
Unajua kama primiera agosto mwaka 2018-19 wamecheza nusu fainali?Nitajie team inayo toka Angola ambayo umefika robo fainali CAF champions league kama unaona ndio kigezo
Kumbe ushamjibu, huyu ni wa kuachana nae, data hana ila anataka kuketa ubishi tu.Unazungumzia robo fainali? 😨 wewe jamaa mzima kweli Primera De Agosto 2018 ilifika semi final tena sio shirikisho ni champions league na ikatolewa na Esperance.
Bado unataka tuendelee?
Vigezo ni vingi ......ligi yetu ni bora kwasababu pia zifuatazwoLeta vigezo walivyotumia ku-rank hizo nchi acha porojo.
Kwa ligi ya Tanzania hadi sasa hakuna zaidi ya Simba hadi pale itakapo tokea timu ifanye kama Simba au zaidi
But in general..... wanaangalia....ushindani wa ligueNa zote ziko competitive sana kwenye mashindano ya Africa, haya turudi bongo land nje ya Simba ni timu gani iko competitive kwenye mashindano ya nje?
Usijisahaulishe Simba imecheza na Sevilla miaka miwili iliyopiya
Mara moja.....tu au iliendelea kufanya vizur?Unazungumzia robo fainali? [emoji32] wewe jamaa mzima kweli Primera De Agosto 2018 ilifika semi final tena sio shirikisho ni champions league na ikatolewa na Esperance.
Bado unataka tuendelee?
Unaleta statistics za mwaka 2016? yaani 2022 unatumia data za miaka 8 iliyo pita kua serious basiZambia tena [emoji37]
Mwaka 2016 Zanaco kaenda Semi final ya CAF champions league hiyo Yanga ilikuwa wapi?..
Mwaka 2017 akaenda tena Zanaco quarter final ya caf confederation huyo yanga alikuwa wapi?
Nkana kila mwaka anaenda hadi round of 16 anakoshiriki huyo yanga anaenda wapi?
Niweke na record za Zesco? Kubali Simba kafanya haya na sasa hivi yuko vibaya ndio anguko la soka la bongo hivyo timu nne itakuwa story na robo fainali itakuwa story hadi akae vizuri
Rank zinatolewa kwa history au current performance? unaleta habari za 2018 ku justify mambo ya 2022Unajua kama primiera agosto mwaka 2018-19 wamecheza nusu fainali?
Huwa zinatolewa kwa kipindi fulani, yaani kama ilitoka 2015, ikaja kutoka 2022 basi, kipindi cha hapo kati choote hujumuishwa.Rank zinatolewa kwa history au current performance? unaleta habari za 2018 ku justify mambo ya 2022
Hizo ni za kuonyesha ukubwa wa hizo ligi.Unaleta statistics za mwaka 2016? yaani 2022 unatumia data za miaka 8 iliyo pita kua serious basi