Ligi ya Tanzania yapanda nafasi (9) imekuwa ya 62 duniani kwa ubora

Huwa zinatolewa kwa kipindi fulani, yaani kama ilitoka 2015, ikaja kutoka 2022 basi, kipindi cha hapo kati choote hujumuishwa.
Huyo kidimbwi unaweza ukapaniki ukampa mitusi tu
 
Vigezo ni vingi ......ligi yetu ni bora kwasababu pia zifuatazwo

Ina fuatiliwa na watu weng east Africa.

Inakusanya wachezaji .....kutoka pande mbali mbali za Africa na nje ya. Africa

Mfano ....rejea ..dabi ya SIMBA NA YANGA ya mwaka juzi.....hadi rais wa CAF anakuja kuangalia
Huyo aliyekuwa Rais wa CAF mla rushwa? Karia hakumpa chochote kweli 🤔
 
Mbona naona hio website sijuwi nn inazungumzia strongest league in Africa na sio ulimwenguni Kama mleta mada anavodai. Kwanza nimepata mashaka duniani league ya Tanzania iwe ya 62 [emoji16][emoji16] what kitaifa tu fifa rankings sijuwi tupo wa ngapi huko so please mleta mada hebu rudia kufanya research
Mtoa mada .....sijafanya research .....but hii ni taarifa kutoka shirika la takwimu za mpira.......
Pia mm nimechukua part ya sehemu za timu za Africa.......rudia kusoma vzr
 
Mi naona hata hiyo nafasi ya 10 bado haikustahili, ndio yale yale ya cameroon kuwabandika wachezaji uviko [emoji1787] makaveli10 wewe unasemaje? Sikweli? [emoji1787]
Kwa ligi yetu ilivyo ......tulipaswa kuwa hata wa 8 .......ligue yetu.....inafuatiliwa east Africa nzima.

Rejea mech za Simba ......hadi watu toka Zambia wanakuja
 
Siwaoni wakifanya maajabu kwa team ile
Jizime Data tu, ila huyo Kolo ndo anawafanya mjione mpo kwa ligi Bora. Hii inatokana na hasa ubora wake when it comes to International Football Competitions.

Mara ngapi Uto wanaenda kimataifa wanaenda kulitia aibu Taifa na League yetu? Huyo Uto anayejitutumua ndani ya League ni wangapi Kwa Africa Club Rankings as compared to his rival Kolo?...

Tatizo la nchi hii ubishi mwingi but kwa ground Yanga ni Zero Brained in Football.
 
Ni bongo tu tunaona kufika robo finally ni mafanikio ila nnavyo fahamu mafanikio ni kuchukua ubingwa ndio maana leo Arsenal ni mtoto kwa Nottingham forest when it comes to UEFA champions league
 
Ikumbukwe Mafanikio ni Mchakato...
 
Jizime Data tu, ila huyo Kolo ndo anawafanya mjione mpo kwa ligi Bora. Hii inatokana na hasa ubora wake when it comes to International Football Competitions.

Mara ngapi Uto wanaenda kimataifa wanaenda kulitia aibu Taifa na League yetu? Huyo Uto anayejitutumua ndani ya League ni wangapi Kwa Africa Club Rankings as compared to his rival Kolo?...

Tatizo la nchi hii ubishi mwingi but kwa ground Yanga ni Zero Brained in Football.
Brainwashed
 
Ubora wa simba .....unatokana na ubora wa YANGA..... when it comes to the matter of competition
 
Hahah Uto mnajua kutukeraaa [emoji23][emoji23] tatizo lenu mnawekeza kwenye kelele nyingi na kikosi chenu cha kauka nikuvae.
Tukutanane robo fainal ijayo ya CAF championship......wananchiiiii
 
Back
Top Bottom