Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda nadhani ndio tatizo kwakoUshoga umekuwa kama ni silaha ya kuwaumiza na kuwadhihaki wahusika. Si jambo zuri.
Mheshimiwa mmoja akiishiwa kiki zote, anakimbilia kwa mashoga, maana anajua huko kila mtu atamuunga mkono kwa mizuka.
Kuna watu wamedhihakiwa mno kwa jina la makonda, ambao sijui kama kweli ni mashoga. Na hata kama wangekuwa ni mashoga hawakupaswa kumulikwa vile maana waliamua kufanya mambo yao kwa privacy kubwa.
Jamaa thread zake anahamasisha ushoga, nimechunguza nahisi either ni gay or ni basha japo wote wanahesabiwa ni magayKumbe duu
Yaan mijitu kama hiyo ningekua mamlakani ingenisamehe.....hakuna lijitu duniani linaniuzi kama lishogaJamaa thread zake anahamasisha ushoga, nimechunguza nahisi either ni gay or ni basha japo wote wanahesabiwa ni magay
Jamaa anautetea kwa nguvu zote, had kuna uzi mod wameufuta alikuwa anahamasisha wanaume kulana denda
Sio bila shakaWewe bila shaka ni shoga
Da! Sure jamaa kakacha uwakilishi kwa sababu weak sana.Tatizo kubwa la mtu mweusi akili yake ndogo, hakuna namna ya kuwapinga hawa. Hebu fikiria mtu anaacha ubunge kwa hoja ya mgogoro ndani ya chama, sasa inahusiana nini na uwakilishi bungeni?. Kama tumekubali kuchukua tamaduni zao mbali mbali, ikiwemo dini, sioni Africa ikilikwepa hili.
miaka ya 90 watu walianza kuamini mwisho wa dunia ni mwaka 2000, ila leo hii ni 2018, 18 years later.Siku za mwshon mwanadamu atatenda sana uovu juu ya uso wa dunia atakua na maarifa makubwa sana kiasi cha kwamba ad kumkosoa muumba wake (kuna nyuz nyng sana umu kuhusu ujuaji)
2020 kiama kama unataka kubisha kabishane na baba yako
Wewe dini yako haitoi laana kwa mashoga?Tutaona unafiki sasa wa waislam. si wanajidai kutoa laana daily tutaona kama hawatoangalia mpira au kina mo Sara, ozil etc kama watahama ligi.
Hawa wazungu kweli balaaa mambo hadharani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samatta ndo anataka kwenda huko?Shekh Salah je ataunga mkono?
Na watazamaji nao mtaunga mkono ushogaTimu zote 20 za Ligi Kuu ya England, EPL, Novemba 30 mwaka huu zitaungana katika harakati za kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na usagaji.
Katika kufanya hivyo, wachezaji wote watavaa vitambaa vyenye rangi maalumu za ushoga na usagaji kama zinavyoonekana hapo kwenye picha.
Tukio kama hilo litajirudia tena Disemba 5 mwaka huu ambapo vibendera vyote vya uwanjani, vitambaa vya manahodha, kimeza cha kuwekea mpira, bango la sehemu ya wachezaji kupeana mikono pamoja na kibao cha dakika za nyongeza na kubadilishia wachezaji, vyote vitakuwa na rangi za ushoga na usagaji.
Mabango ya matangazo uwanjani pamoja TV kubwa za uwanjani, vyote vitakuwa na matangazo ya kuhamasisha na kuunga mkono vitendo vya ushoga na usagaji.[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 935540View attachment 935541View attachment 935542
DUNIA INAZIDI KUANGAMIA KILA SIKU
Na hao hao wazungu ndio wanaongoza kwa ubaguzi wa rangi duniani....Wazungu nawaelewa sana, hawaamui kwa kutumia emotions zao, ama kwa kutumia sijui imani za dini ambazo ni hadithi tu za miaka hiyo, bali reason na emphathy ...
Poleni sana na mtapata tabu sana.Ushoga umekuwa kama ni silaha ya kuwaumiza na kuwadhihaki wahusika. Si jambo zuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samatta ndo anataka kwenda huko?Shekh Salah je ataunga mkono?