Ligi ya Uingereza kuanza kuunga mkono Ushoga tarehe 30 Novemba

@AROON,

Nilichokiona huyo jamaa ana tatizo na makonda, na anaungana na hao watu tu kwa sababu anahisi anamkomoa makonda
 
Makonda nadhani ndio tatizo kwako
 
Jamaa thread zake anahamasisha ushoga, nimechunguza nahisi either ni gay or ni basha japo wote wanahesabiwa ni magay

Jamaa anautetea kwa nguvu zote, had kuna uzi mod wameufuta alikuwa anahamasisha wanaume kulana denda
Yaan mijitu kama hiyo ningekua mamlakani ingenisamehe.....hakuna lijitu duniani linaniuzi kama lishoga
 
Da! Sure jamaa kakacha uwakilishi kwa sababu weak sana.
 
Tutaona Waislam. Si wanajidai kutoa laana daily tutaona kama hawatoangalia mpira au kina Mo Salah, Ozil etc kama watahama ligi.
 
Hivi MTU akifanya ushiga wewe unaumia na Nini.. Mwanaume kamili hawezi tokwa povu na MTU kuwashoga as long as MTU hatamletea habari.. .. MTU anafanya ushoga ulaya wewe unapanik.
 
Nilishasema humu kuwa ushoga ni tendo linalompa utukufu ibilisi, kwa maana nyingine wazungu walishaweka tumaini lao kwa shetani kwamba ndiyo anawafanikishia mambo yao waweze ku survive hapa duniani. Tutarajie tu haya mambo kuwa hadharani zaidi kabla ya mpinga Kristo kujidhihirisha hivi karibuni na kuanza kwa kipindi cha dhiki kuu (tribulation) na kupelekea matukio ya mwisho wa nyakati kabla ya Yesu Kristo kusimika ufalme wake utakaodumu milele. Hiki ni kipindi cha kuwa macho zaidi kuliko wakati wowote ule.
 
Siku za mwshon mwanadamu atatenda sana uovu juu ya uso wa dunia atakua na maarifa makubwa sana kiasi cha kwamba ad kumkosoa muumba wake (kuna nyuz nyng sana umu kuhusu ujuaji)

2020 kiama kama unataka kubisha kabishane na baba yako
miaka ya 90 watu walianza kuamini mwisho wa dunia ni mwaka 2000, ila leo hii ni 2018, 18 years later.
 
Na watazamaji nao mtaunga mkono ushoga
 
Wiki hiyo EPL ntajifanya siijui tu.
#Bure kabisa hawa .
Ipo siku watapeleka ad kwnye Fifa games and PES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…