Ligi ya Uingereza kuanza kuunga mkono Ushoga tarehe 30 Novemba

Mkuu hatukatai kwamba wazungu wako mbali kimtazamo wako vizuri, hii ishu haipo kawaida kama watu wanavyodhani...hii ishu ipo kiroho zaidi. Wazungu ndio binadamu wanaoshirikiana na shetani kwa asilimia kubwa, ndio maana sasa hivi nchini Marekani wanafundisha masomo ya kishetani mashuleni (Satanic Knowledge) na shetani anamtumia mzungu kwa sababu ana Ushawishi mkubwa duniani.

Mzungu kuhamasisha ushoga ni mpango wa shetani kumkasirisha MWENYEZI MUNGU. ndo maana umesikia sana mambo ya Freemasons, Iluminat, na maswala mengine. Watu maarufu sana dunian ni washirika wa shetani. Kama umeshawahi kusikia kuna raisi wa nchi moja nimeisahau ameoa mwanamme Mwenzake, na anamtambulisha mbele za watu kiroho safi bila aibu. KWA HIYO NDUGU MAMBO YA KISHENZI WANAYOFANYA WAZUNGU, NYUMA YAKE YUPO SHETANI ANAWASHINIKIZA. LENGO KUBWA LA SHETANI NI KUMKASIRISHA MWENYEZI MUNGU. Hii kitu ya ushoga na mambo mengine machafu yapo kiroho zaidi.

Pengine unaweza usinielewe nilichokizungumza. HIVYO BASI USHOGA HATUWEZI KUUMALIZA KWA KULAUMU, KUTUMIA NGUVU, AU KUPIGA KELELE BALI KWA KUMUOMBA MUNGU, TUHIMIZE FAMILIA ZETU ZIMUABUDU MUNGU HAIJARISHI WEWE NI MKRISTO AU MUISLAMU. WATOTO WETU WAPATE MAADILI YA DINI NDIPO WATAWEZA KUISHINDA VITA HII.******MZUNGU ANA AKILI YA MAENDELEO LAKINI AKILI YA UTU HANA, WANAFANYA MAMBO YA KISHENZI KWA SHINIKIZO LA SHETANI, YAAN HAWA WAZUNGU HAWAMUOGOPI MUNGU KABISAAA******

HUO NDO MCHANGO WANGU!!
 
Hivi shida ipo wapi mtu anapoamua kutumia mku ..wake kwa starehe zake mbona mambo mengine tunayakuza sana bila sababu za msingi
 
Mmi nitakuwa ninaangalia La liga Santander na Bundersliga
 
Kukagua marinda ya watu ndiyo akili ndogo hiyo,kama watu wazima wawili na akili zao timamu wamehamua kwenda kupeana rahaa zao za kushikana ukuta huko tena hata siyo mbele yangu inanihusu nini mimi hata nikaingilie??!!
Wanaume wote wa Dar kesho ofisini kwa RC mkaguliwe marinda.
 
Mimi naisubiri dini yangu tuu siku wakipitisha ushoga sjui ntachukua maamuzi gani
 
Wengine humu ndani ni mawakala wa shetani tumeshaonywa tuwe nao makini...
 
Na hao hao wazungu ndio wanaongoza kwa ubaguzi wa rangi duniani.
Nah, inategemea na wazungu wenyewe, kuna wazungu wahafidhina hasa wanaotokea nchi za Ulaya Mashariki hawa hawataki kabisa ushoga, wala watu weusi hata wahamiaji kutoka Uarabuni, so wabaguzi wanabagua hadi mashoga.

Ila nchi za Ulaya Magharibi ubaguzi umepungua sana, mtu mweusi mhamiaji ama Mwislam anaweza kuchaguliwa kuwa nafasi kubwa ya kisiasa,mfano mayor wa London ana asili ya Pakistan, Marekani kwenye uchaguzi wa midterms juzi kuna wahamiaji kutoka Somalia na Palestina walichaguliwa kuwa maseneta.

Ukiangalia kinyume chake nchi za Pakistan, Somalia ukiwa tu dini tofauti na Uislam unakuwa kama raia wa daraja la pili
, achilia mbali kuongoza au umetokea Ulaya upate nafasi ya uongozi huko
 
Tutaona unafiki sasa wa waislam.....si wanajidai kutoa laana daily tutaona kama hawatoangalia mpira au kina mo Sara, ozil etc kama watahama ligi........
sio waisilamu tu, ni Africa kwa ujumla wake wote wataku mashoga. hakuna kitu ambacho mzungu amekianzisha afu muafrika akipinge, muda utaongea. Africa ni eneo ambalo watu hawajiamini kabisa mbele ya mabara mengine.
 
Maelezo mengi lakini inaonekana wazi kabisa kuwa bado huwaelewi vizuri.
 
Tutaona unafiki sasa wa waislam.....si wanajidai kutoa laana daily tutaona kama hawatoangalia mpira au kina mo Sara, ozil etc kama watahama ligi........
Unakosea sana unaposema unafki wa waislam.
Kwani mpaka ujumishe dini.
 
Maelezo mengi lakini inaonekana wazi kabisa kuwa bado huwaelewi vizuri.
Basi ngoja nikupe kwa maelezo machache..
Hao mtawafuata tu, hata kwa miaka 10 au 100 ijayo, kwani mmefuata vyao vingi sana mlivyokuwa mnavipinga awali...kuanzia kwenye dini, mfumo wa utawala, na mfumo wa elimu
 
Tumeacha vitu vyetu vyote kuanzia mila, desturi, na tamaduni na kufwata vyao walivyotuletea. Mie naona hamna namna waache walioamua kufumuliwa marinda wafumuliwe.

Kuna mambo mawili hapa nadhani kuna watu wanashindwa kuelewa.
1. Ushogo na usagaji.
2. Kutambua Haki za ushoga na usagaji.
 
Nimeona big 6 zote ila Manchester city sijaiona why au yule mmiliki wake kakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…