Mkuu umeandika nin, futa huu ujinga aisee mpaka nimeona kichefuchefuKitu ambacho hatuelewi waafrika ni kuwa kuna kitu kinaitwa haki za binadamu ambazo zinampa mtu Uhuru wa kufanya lolote isipokuwa lisiingilie Uhuru au maisha ya wengine,Sasa sisi Waafrika tunapenda kupangiana sana maisha,eti sababu Mimi sio shoga basi na wewe lazima usiwe shoga,hivi kama MTU ni shoga na anjiheshimu na anaiheshimu hadhira sasa tatizo jamii zetu kuwaandama hawa watu linatoka wapi? Hamuoni kuwa mnawatorture kisaikolojia maana mtu kazaliwa na upungufu wa hormoni za kiume sasa unawezaje kumlazimisha awe na demu wakati anajua hana cha kumfanya mwanamke,Kwanini asiegeme ambapo ndipo anahisia napo,Wazungu wameliona hilo ndio maana wakaanzisha harakati za kitetea hili kundi hawa viumbe wenzetu ambao hawana tofauti na wale wa jinsia mbili(anaweza kuwa anamwonekano wa kike ika homoni nyingi ni za kiume na anamaumbile ya kiume) hivyo akiwa na demi watu watasema wanasagana na pia akiwa na mshikaji wataita ushoga,THIS IS AFRICA WE HAVE A LONG JOURNEY TO GO
Kwani sisi watu weusi tunawazidi nini wao?Halafu hao ndio tunawaona eti ni wastaarabu na wameendelea!
Ushoga nauchukia pia kulazimishana kusapoti pia ni ufalaNaelewa hilo. That's fine.
Kila mtu akiishi maisha yake bila kumbugudhi mwingine, basi maisha yatakuwa mepesi madhali tu kwamba hakuna haki ya mtu iliyovunjwa.
Lakini tukitaka kuanza kukagua marinda ya watu kujua, hapo ndipo malumbano yanapoanza.
Nani kakulazimisha kusapoti ushoga au kiherehere chako tu!Ushoga nauchukia pia kulazimishana kusapoti pia ni ufala
Fikiria pia na kuhama nchi maana hata Tanzania mashoga wapo wengi. Chukua hatua hamia sudan kwenye maadili mema!Daaah nimeshuhudia mechi za Jana manahodha wamevaa, aisee.
Any way nimejipa mwezi mmoja wa kufikiri maamuzi magumu ya kuachana na mpira wa majuu nibaki na Simba yangu ya Tanzania tu.
Kitu ambacho hatuelewi waafrika ni kuwa kuna kitu kinaitwa haki za binadamu ambazo zinampa mtu Uhuru wa kufanya lolote isipokuwa lisiingilie Uhuru au maisha ya wengine,Sasa sisi Waafrika tunapenda kupangiana sana maisha,eti sababu Mimi sio shoga basi na wewe lazima usiwe shoga,hivi kama MTU ni shoga na anjiheshimu na anaiheshimu hadhira sasa tatizo jamii zetu kuwaandama hawa watu linatoka wapi? Hamuoni kuwa mnawatorture kisaikolojia maana mtu kazaliwa na upungufu wa hormoni za kiume sasa unawezaje kumlazimisha awe na demu wakati anajua hana cha kumfanya mwanamke,Kwanini asiegeme ambapo ndipo anahisia napo,Wazungu wameliona hilo ndio maana wakaanzisha harakati za kitetea hili kundi hawa viumbe wenzetu ambao hawana tofauti na wale wa jinsia mbili(anaweza kuwa anamwonekano wa kike ika homoni nyingi ni za kiume na anamaumbile ya kiume) hivyo akiwa na demi watu watasema wanasagana na pia akiwa na mshikaji wataita ushoga,THIS IS AFRICA WE HAVE A LONG JOURNEY TO GO
Waafrika bado sana kuhusu kuvumilia na yanayowakera kutoka kwa wengine.

Unawashwa eeh! Sasa unazani wachezaji wote wanasapoti ushoga? Wanavyolazimishwa kuvaa mavitambaa ya ushoga unaona sawa? Najua huoni tatizo kwavile wewe ni shogaNani kakulazimisha usapoti ushoga au kiherehere chako tu!
Mbona mtihani huu Sasa?Fikiria pia na kuhama nchi maana hata Tanzania mashoga wapo wengi. Chukua hatua hamia sudan kwenye maadili mema!
Wamelazimishwa na nani?Wanavyolazimishwa kuvaa mavitambaa ya ushoga unaona sawa?
Wewe utakuwa ni chakula cha wanna.Kitu ambacho hatuelewi waafrika ni kuwa kuna kitu kinaitwa haki za binadamu ambazo zinampa mtu Uhuru wa kufanya lolote isipokuwa lisiingilie Uhuru au maisha ya wengine,Sasa sisi Waafrika tunapenda kupangiana sana maisha,eti sababu Mimi sio shoga basi na wewe lazima usiwe shoga,hivi kama MTU ni shoga na anjiheshimu na anaiheshimu hadhira sasa tatizo jamii zetu kuwaandama hawa watu linatoka wapi? Hamuoni kuwa mnawatorture kisaikolojia maana mtu kazaliwa na upungufu wa hormoni za kiume sasa unawezaje kumlazimisha awe na demu wakati anajua hana cha kumfanya mwanamke,Kwanini asiegeme ambapo ndipo anahisia napo,Wazungu wameliona hilo ndio maana wakaanzisha harakati za kitetea hili kundi hawa viumbe wenzetu ambao hawana tofauti na wale wa jinsia mbili(anaweza kuwa anamwonekano wa kike ika homoni nyingi ni za kiume na anamaumbile ya kiume) hivyo akiwa na demi watu watasema wanasagana na pia akiwa na mshikaji wataita ushoga,THIS IS AFRICA WE HAVE A LONG JOURNEY TO GO
Dah na wewe ni chakula ya masela.Wamelazimishwa na nani?
Huyu ni chakula pia.Waafrika bado sana kuhusu kuvumilia na yanayowakera kutoka kwa wengine.