Ligi yako inakuzwa na Ubora wa Wachezaji wa Kigeni Wewe unawawekea Wachezaji wako Wazawa Wavivu Ahadi ya Tsh Milioni 500

Sisi TIIISSS tunaendelea kufilter vitaarifa vyako, Ipo siku isyo na Jina utajaa
Kwa Kukusaidia tu 65% ya hawa ( hao ) Watu wa TISS achilia mbali Mabosi zao Watatu na Waandamizi wao Wawili ( Mmoja Mdogo wangu wa Damu ) na Mwingine ni Rafiki yangu mkubwa tokea Chuoni SAUT Mwanza wananijua Physically na hata hii ID yangu ya GENTAMYCINE wanaijua.

Njoo na lingine tena Mpuuzi Wewe!!!!
 
Huo ndio ukweli, acha waendelee na hamasa waache kuwekeza kwenye academy, umitashumita na umiseta zitiliwe mkazo, mpira hauhitaji uongouongo unahitaji uwekezaji na kukuza vipaji toka watoto wakiwa wadogo mbape hajaibuka tu, waliandaliwa hao tatizo la viongozi ni long term plans hawana ndio maana unaona tunasuasua kila leo
Mtani kuna muda ukitulia una Madini.
 
Ukiununia huu Ukweli Jinyonge Ufe!!!
Dkt. Pindu Chana anasoma uzi wako ujue

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Pindu Chana akimkabidhi Nahodha wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto Sh. Milioni 10 ambazo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ametoa zawadi ya Sh. Milioni 5 kwa kila bao walilofunga Yanga kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya US Monastirienne
 
What a Bogus Sports Minister we have.
 
Sioni wa kumfunga kocha Micho
Micho kocha wa kawaida tu,hukuiona alivyoburuzwa na chamangwana na st George's yake pale uhuru,hata Uganda yenyewe Haina mpira wa maana ni ngengele ngingili tu
 
Taifa stars lazima inashinda tu
Ili mjue hamna akili mtakuja hapa kusema mechi imenunuliwa
Wenye akili tunajua tu mechi lazima inunuliwe before hata ya matokeo ya mchezo hayajatoka
Nyie mpaka msubiri matokeo ndiyo mje hapa kusema mechi imenunuliwa
Tumieni akili kidogo tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndio ukweli, acha waendelee na hamasa waache kuwekeza kwenye academy, umitashumita na umiseta zitiliwe mkazo, mpira hauhitaji uongouongo unahitaji uwekezaji na kukuza vipaji toka watoto wakiwa wadogo mbape hajaibuka tu, waliandaliwa hao tatizo la viongozi ni long term plans hawana ndio maana unaona tunasuasua kila leo
TZ haijawahi kuwa makini kiuwekezaji katika Taifa Stars.

Watoto wa U 17, 21 na hata Ke wamefanikiwa mara nyingi sana kufika fainali za michuano mbali mbali hapa Africa lakini hawajawahi kuwawekea future long term investment yoyote zaidi ya kuishia kupongezwa tu kisha kusambaratishwa kwa kusajiliwa hovyo hovyo na kuua vipaji vyao kabisa.
 
Kama mmeshaona udhaifu kwenye timu yetu ya Taifa, kuna room ya kutoa maoni.

Muhimu tuiombee heri Timu yetu
Maoni yenyewe ndio haya mkuu, tunatakiwa kuwa na msingi imara sio unakutana tu na mchezaji ana umri wa miaka 24 hujui kaanzia wapi ww unamuita timu ya taifa na kisha unamhamasisha akishinda analamba mil 500
 
Miaka kadhaa nyuma, hizi Timu za Simba na Yanga zilikuwa na timu nzuri za Vijana kuanzia miaka 9 - 18 nadhani.

Mfumo ule iwapo Serikali ingewekea mkazo huenda tungekuwa na kikosi Imara sana Timu ya Taifa.
 
Huo ndio ukweli, acha waendelee na hamasa waache kuwekeza kwenye academy, umitashumita na umiseta zitiliwe mkazo, mpira hauhitaji uongouongo unahitaji uwekezaji na kukuza vipaji toka watoto wakiwa wadogo mbape hajaibuka tu, waliandaliwa hao tatizo la viongozi ni long term plans hawana ndio maana unaona tunasuasua kila leo
Timu za taifa za vijana zinachaguliwa na mtu mmoja, tena mtu mwenyewe anabugi tuu kila mwanaka🤣🤣🤣🤣

U17, u20 u 23 zote zimeshi dwa fuzu afcon bado unajidanganya kuwa una mipango yenye tija. Wacha waganda watupige tuu.
 
Back
Top Bottom