Ligi yetu inaisha lini?

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wapenda soko asalaam.
Hivi najiuliza sisi wapi tunakwama. Kama ligi nyingi zinaisha mwezi june 2021 mapema kabisa. Sisi yakwetu mpaka July hapo hapo TFF imeita timu ya taifa kujiandaa na mechi za kirafiki.
Hapa napata mashaka ya upangaji ratiba zetu. Kama taifa tubadilike twende na kalenda za FIFA na CAF vzr ndio maana timu ya taifa inafeli kila siku we mchezaj ameitwa lakini bado anamechi ya club hapo atakuwa hana concentration nzuri.

TFF wabadilike hata radha ya ligi inaisha
 
Wakati ligi imesimama kwenye maombolezo tariban siku 21,sikuona kelele hizi.

Kwa nini hukukemea TFF wakati ule wanasimamisha ligi na uje sasa hivi umejisahaulisha kama kulikuwa na matukio gani nchini?

Wakati ligi imesimama kwenye maombolezo tariban siku 21,sikuona kelele hizi.

Kwa nini hukukemea TFF wakati ule wanasimamisha ligi na uje sasa hivi umejisahaulisha kama kulikuwa na matukio gani nchini?
Usibishane na utopolo mkuu hawana akili kwa sasahivi. Hilo la maombolezo washalisahau wanatafuta sababu tu kama mke mwenza baada ya kidanganywa wanachukua ubingwa msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…