Wapenda soko asalaam.
Hivi najiuliza sisi wapi tunakwama. Kama ligi nyingi zinaisha mwezi june 2021 mapema kabisa. Sisi yakwetu mpaka July hapo hapo TFF imeita timu ya taifa kujiandaa na mechi za kirafiki.
Hapa napata mashaka ya upangaji ratiba zetu. Kama taifa tubadilike twende na kalenda za FIFA na CAF vzr ndio maana timu ya taifa inafeli kila siku we mchezaj ameitwa lakini bado anamechi ya club hapo atakuwa hana concentration nzuri.
TFF wabadilike hata radha ya ligi inaisha