kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
TFF na bodi ya ligi wanafahamu kuwa Kuna timu za ligi hazijakamilisha usajili wa wachezaji wake muhimu kwa sababu wanazozifahamu, haiwezekani timu hizo zote ziangiwe kucheza na timu Moja (Simba) zicheze harakaharaka. Kasi sio kuahilisha mechi zao angalau basi zicheze na timu tofauti. Yaani tabora na Simba na faunten gates na mashujaa au JKT Tanzania,1.Kwahiyo kwa kipindi hiki ambacho hizo timu bado hazijakaa sawa mlitaka zicheze na timu gani ili mlidhike?
2. Nani alizizuia hizo timu kutolipa mapema madeni ya wachezaji waliokuwa wanawadai hadi kufungiwa na FIFA kusajili? Au kwakuwa na nyie ni wale matapeli mnaoshitakiwa fifa kila siku na wachezaji mnawatetea matapeli wenzenu?