Ligi yetu inazidi kukuwa ila TFF inashuka, naona inaisaidia Simba SC

TFF na bodi ya ligi wanafahamu kuwa Kuna timu za ligi hazijakamilisha usajili wa wachezaji wake muhimu kwa sababu wanazozifahamu, haiwezekani timu hizo zote ziangiwe kucheza na timu Moja (Simba) zicheze harakaharaka. Kasi sio kuahilisha mechi zao angalau basi zicheze na timu tofauti. Yaani tabora na Simba na faunten gates na mashujaa au JKT Tanzania,
 
Wivu
 
Kwa hiyo malalamiko yako ni Simba kupata muunganiko? Unapendekeza hao Tabora United na Fountain Gate walitakiwa wacheze na nani wakati huu ligi inapokuwa imeanza? Au TFF iwasubiri hadi wamalize usajili, waanzie raundi ya tano watakapokuwa tayari?
Pamoja n tff kuendesha ligi ambayo marefa, Wachezaji Na makocha wzawa hawauziki nje ya nchi
 
Pamoja n tff kuendesha ligi ambayo marefa, Wachezaji Na makocha wzawa hawauziki nje ya nchi
Mayele, Inonga, Tanimu, Sakho ni miongoni mwa wachezaji waliouzwa nje ya nchi kutoka ligi hii hii miaka hii miwili
 
Mayele, Inonga, Tanimu, Sakho ni miongoni mwa wachezaji waliouzwa nje ya nchi kutoka ligi hii hii miaka hii miwili
Kaka wale sio products za TFF, walipitaga hapa akina Nonda Shaban wakiwa na malengo yao. Products za TFF ni Mzamiru, Nkane, Zimbwe, Manula, Lawi, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…