Ligi yetu inazidi kupungua ubora kila mwaka. Timu dhaifu, hakuna ushindani

Hamna bhn,wananchi sku hzi wana soka la kasi sana ukikaa vibaya 5 zinakuhusu.
 
Bongo tuna utajiri wa mashabiki na wadhamini wa mpira ila vipaji vya uhakika hatuna. Huu ushabiki ungeendana na vipaji tungefika mbali. Tujipe tu moyo kwamba bongo kuna biashara kubwa ya mpira ndo maana wadhamini ni wengi.
 
Wivu ni DALILI ya umasikin...

We jamaa una wivu mbaya SANA...ila pole SANA,maumivu hayataisha...nakushauri uwe unatembea na VIVIAN PLUS
 
Kama ni dhaifu na simba nao wapige watu goli tano tano mpak msimu uishe. Aalfu tusikimbilie kuongea mapema huenda ni bahati za mwanzo mwanzo mbeleni mambo yakawa utopwax
 
Bongo tuna utajiri wa mashabiki na wadhamini wa mpira ila vipaji vya uhakika hatuna. Huu ushabiki ungeendana na vipaji tungefika mbali. Tujipe tu moyo kwamba bongo kuna biashara kubwa ya mpira ndo maana wadhamini ni wengi.
Uko sahihi sana mkuu nilikua natamani ligi ianze niwe najichekea nikipitia post za simba na yanga
 
Timu zinacheza mpira wa hovyo, wachezaji wanacheza utadhani wamefungwa mawe miguuni, poorTanzania.
 
kama taifa tumewekeza sana kwa simba na yanga na kusahau timu zingine. hazioni umuhimu wa kutunisha misuli ilhali hata bunge, rais, wizara na serikali kwa ujumla macho yao yako yanga na simba tu.

Ni bora hizo timu ziwape kile wanachotaka
 
Kuna msemo wa mabeberu unasema, "If you want to be happy in anything, lower your expectations but work like a machine." Nadhani ndugu zetu kolowizards inabidi wautekeleze kwa vitendo huu msemo maana makasiriko yamezidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hamjasema mtasema tu mwaka huu!
 
Bora uwe mchawi tujue moja sio mahusda aliokua nayo jamaa!
Hakukuwa na haja yakuzunguka kama ulitaka uiseme yanga ungeisema tu! Wivu na husuda vimekujaa baada yakuona shughuli ya magoli mengi kiwanjani...[emoji28]
 
John wanaume huwa hatuna sifa hizo huwa tunatoa credits sio kama mamanzi [emoji28][emoji119] wewe kubali uwezo wa yanga acha kuzunguka mibuyu huko utakutana na wachawi..!
Yanga ina miaka 25 haijawahi kufikia hatua ya makundi club bingwa...

Kama Caf wanasema Yanga ni bora kwa nini wameanza round ya kwanza kwenye CAF CL?
 
So far Young Africans hatuna mpango wa kutengeneza status ya the best underdog of the tournament kuachieve ukubwa kama walivyofanya kolowizards. Young Africans tunataka kuupata ukubwa kwa kuwin tournament and that is the plan. Ilifail mwaka jana kwenye CAFCCL, tukalearn our lesson; msimu huu attempt ni kuwin CAFCL.

Nyie kolowizards endeleeni na ukubwa wenu at best underdog level. Mtakuja kushtuka tunaparade kikombe barabara ya msimbazi mkiwa na ukubwa wenu huohuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…