Ligi yetu inazidi kupungua ubora kila mwaka. Timu dhaifu, hakuna ushindani

Laliga na Bundasiliga umewahi kuzisikia hizi ligi huko kijijini kwenu?
La Liga na Bundesliga zina Madrid, Barca, Bayern ambazo zinatawala lakini pia zinatawala UEFA pia,. Hapa timu inayosemwa ni kubwa haijawahi kufika hatua ya makundi kwa miaka 25
 
Nisome vizuri, wewe umeponda ligi kwamba si bora, nami nimekujibu kuwa kwa mujibu wa CAF ligi ya TZ ni moja ya ligi bora...
CAF walisema Simba ni bora sio ligo yetu ni bora
Ingekuwa bora basi Yanga ambayo ni bingwa asingepangwa na hao CAF kuanzia hatua za e mwanzo kufuzu CAF CL, au kama unamaanisha ni bora kuliko ligi ya Djibout sawa
 
Ligi dhaifu haiwezi kutoa timu bora, tusidanganyane hapa
 
CAF walisema Simba ni bora sio ligo yetu ni bora
Ingekuwa bora basi Yanga ambayo ni bingwa asingepangwa na hao CAF kuanzia hatua za e mwanzo kufuzu CAF CL, au kama unamaanisha ni bora kuliko ligi ya Djibout sawa
RABAT ya nabi ni bingwa wa Morocco na wameanzia preliminary stage kama yanga...na ligi yao ni namba 2 kwa ubora Africa.
Braza acha kuongea kitu hujui, afu acha kuwa na wivu, utakuw masikin mpk ufe
 
Yanga ina miaka 25 haijawahi kufikia hatua ya makundi club bingwa...

Kama Caf wanasema Yanga ni bora kwa nini wameanza round ya kwanza kwenye CAF CL?
Simba ina miaka mingapi haijafika nusu fainali au fainali jiulize hata kimoyomoyo utagundua hata simba haijafikia malengo ambayo ni kuleta kombe kwenye ardhi ya Tanzania.
 
Mie nadhan ni ligi yenye hamasa kubwa na c vinginevyo

Mkuu ligi yetu ipo vizuri, tunajitahidi na tumezizidi nchi nyingi tu za Afrika...

Nchi zilizotuzidi unaweza kuzitaja mfano Afriia Kusini, Algeria, Misri, Morocco, Tunisia na nyingine mbili tatu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…