Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 11, 2026 #1 Tunaisifu Sana na kuikuza kuliko uhalisia, lakini ligi yetu ni ya kawaida sana ila imejaa msisimko wa kishabiki.
Tunaisifu Sana na kuikuza kuliko uhalisia, lakini ligi yetu ni ya kawaida sana ila imejaa msisimko wa kishabiki.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,999 Reaction score 21,560 Feb 11, 2026 #2 Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana.
Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Feb 11, 2026 Thread starter #3 Imeloa said: Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana. Click to expand... Na wao wanapenda kujitapa kama vile ni timu za maana.
Imeloa said: Sanasana ni ligi ya mafarasi watatu wengine wote ni punda tu ila kelele ndio wanapiga wee utafikiri ni ligi ya maana. Click to expand... Na wao wanapenda kujitapa kama vile ni timu za maana.
Kafka Member Joined Jan 4, 2025 Posts 76 Reaction score 140 Feb 11, 2026 #4 kiushindani au kimiundombinu