Ligi za ulaya zinasimamishwa je ligi ya bongo tuendelee??

Kama TFF wanashindwa kuchukua hatua hiyo mapema basi Waziri Mwakyembe unatakiwa kuchukua jukumu hilo. Si hivyo tu, serikali itangaze kufuta sherehe zote ikiwa ni harusi, unyago na mikusanyiko yote kwa ujumla.

Kwa muda huu tulio nao tunaomba shule zote za msingi na sekondari mkoani Arusha kufungwa kwa muda.

Hayo ni maoni yangu.
 
Kwa mtazamo wa kishabiki mikia watasema wewe ni yanga.
 
Kama TFF wanashindwa kuchukua hatua hiyo mapema basi Waziri Mwakyembe unatakiwa kuchukua jukumu hilo. Si hivyo tu, serikali itangaze kufuta sherehe zote ikiwa ni harusi, unyago na mikusanyiko yote kwa ujumla.

Kwa muda huu tulio nao tunaomba shule zote za msingi na sekondari mkoani Arusha kufungwa kwa muda.

Hayo ni maoni yangu.
acha ujinga,katika mikeka ligi zilizobaki ni ligi ya tanzania,ligi ya urusi na ligi ya uturuki tu,unataka wana wazee wa kubeti wakale wapi,polisi au????
 
Current VPL season should be declared null and void.
 
Mi nilishauri mapema waJF mkakaa kimya mkawa mnaupita tu ujumbe huu sasa yametokea haya sasa ligi ifutwe tu tuanze upya mwakani
 
Back
Top Bottom