Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yuko kotekoteUmewatendea haki lakini.. kitenge Ni mtangazaji bora sio mchambuzi bora
1.Mwalimu Kashasha
2.Mwalimu Kashasha
3.Mwalimu Kashasha
4. Ali Tembele
Kashasha ndio mtu pekee amenifanya nisiache kusikiliza redio wakati natazama Azam Tv
George AmbangileNilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.
Nitafuatilia Tena kipindi ili nimfahamuGeorge Ambangile
Njenje!!!?Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.
Tatizo la Shafii maelezo marefu mno halafu wenye akili tu ndio tunaweza kumwelewa mtu kama una ubongo mdogo huwezi mwelewa shafiiMwalimu Kashasha na Ally Mayayi Tembele nawaheshimu sana,wako proffessional sana. Sidhani kama yupo mchambuzi wa soka clouds anayeweza kuwafikia.
Labda Shafih Dauda kidogo