Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Ongeza na mwamba wa kyela GEORGE AMBANGILE na kidogo JEFF LEYA
 
1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Mkuu huyo Maulid kachambua mpira lini...maana mi nasikiliza kipindi Wasafi na sijawahi kumsikia akichambua zaidi kuhost kipindi tu...au wewe kuchambua unamaanisha nini?

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Ina maana Ambangile kwako sio lolote??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Bila @George_ambangile (Wasafi Fm) orodha hii ni batili
 
Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.​


Naona list imemwacha MVP wa wachambuzi wa soccer Bongo kwa sasa.

Anaitwa George Ambangile wa Wasafi FM.
 
Naona list imemwacha MVP wa wachambuzi wa soccer Bongo kwa sasa.

Anaitwa George Ambangile wa Wasafi FM.
Bila @George_ambangile (Wasafi Fm) orodha hii ni batili
1. Edo kumwembe
2 . george ambangile
3 . gef leah

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Ina maana Ambangile kwako sio lolote??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ongeza na mwamba wa kyela GEORGE AMBANGILE na kidogo JEFF LEYA
Kama unaongelea uchambuzi huwezi kumuacha Ambangile....
Sijui umri wake lakini ana nafasi ya kusoma na kutumika vizuri kama atakuwa serious
George Ambangile
Tigana Lukinja
Ally Tembele
Ally Kamwe
George Ambangile
George Ambangile???
Nilitamani kumuona George ambangile kwenye list
Kwa Michango hii ya wadau

Mchambuzi Bora ni Huyu George Ambagile , km kuna zawadi mpeni

Ila kura hizo hazo za wazo
 
Tuletee watangazaji tuone nani anafanana na baraka mpenja
 
Back
Top Bottom