Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

Kwa Edgar Kibwana na Yahya Njenge sio sahihi.Labda kama unazungumzia wachambuzi wa soka la utopolo.

Maana kwa hapa nchini wao Yanga haijawahi kukosea licha ya mapungufu mengi mno tuliyoyaona.

Kwa Uingereza,bado wamekuwa wababaishaji sana.Wanakuwa na facts za kukidhi mapenzi yao kwa timu zao.

Kwa Afrika hapa hawajui lolote zaidi ya Yanga kuwa mabingwa wa kihistoria.Hawana data za uchambuzi wa soka la Afrika.
Kwa ndondo cup ndio wachambuzi bora kabisa
 
Mwalimu Kashasha na Ally Mayayi Tembele nawaheshimu sana,wako proffessional sana. Sidhani kama yupo mchambuzi wa soka clouds anayeweza kuwafikia.
Labda Shafih Dauda kidogo
1.Mwalimu Kashasha
2.Mwalimu Kashasha
3.Mwalimu Kashasha
4. Ali Tembele

Kashasha ndio mtu pekee amenifanya nisiache kusikiliza redio wakati natazama Azam Tv
 
Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.​
Njenje!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…