Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Ongeza na mwamba wa kyela GEORGE AMBANGILE na kidogo JEFF LEYA1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Mkuu huyo Maulid kachambua mpira lini...maana mi nasikiliza kipindi Wasafi na sijawahi kumsikia akichambua zaidi kuhost kipindi tu...au wewe kuchambua unamaanisha nini?1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Ina maana Ambangile kwako sio lolote??1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Mi pia nimeshangaa sana kumkosaNilitamani kumuona George ambangile kwenye list
1. Edo kumwembeUmewatendea haki lakini.. kitenge Ni mtangazaji bora sio mchambuzi bora
Bila @George_ambangile (Wasafi Fm) orodha hii ni batili1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.
Naona list imemwacha MVP wa wachambuzi wa soccer Bongo kwa sasa.
Anaitwa George Ambangile wa Wasafi FM.
Bila @George_ambangile (Wasafi Fm) orodha hii ni batili
Ongeza na mwamba wa kyela GEORGE AMBANGILE na kidogo JEFF LEYA
Kama unaongelea uchambuzi huwezi kumuacha Ambangile....
Sijui umri wake lakini ana nafasi ya kusoma na kutumika vizuri kama atakuwa serious
George Ambangile
Tigana Lukinja
Ally Tembele
Ally Kamwe
George Ambangile
George Ambangile???
Kwa Michango hii ya wadauNilitamani kumuona George ambangile kwenye list
Kwa Michango hii ya wadau
Mchambuzi Bora ni Huyu George Ambagile , km kuna zawadi mpeni
Ila kura hizo hazo za wazo
Nilimsikiaga kipindi yuko magic nadhani muda Niko town ,nikajua uwezo wake,kwa sasa sijamsikilizaUkiacha kura za wadau, huyu jamaa ulishawahi kumsikia?
Sijajua watu wanamchukuliaje Ambangile...
Nilimsikiaga kipindi yuko magic nadhani muda Niko town ,nikajua uwezo wake,kwa sasa sijamsikiliza
Anajua sana kiukweliSijajua watu wanamchukuliaje Ambangile...
Kwa sasa inafaa apewe tu namba 1