Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
George Ambangile yupo calm.Siyo Edo kumwembe mara nilikuwa Brasil,mara Sammata nilivyokwenda Ubelgiji. Mara nilivyokuwa Madrid.......
Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.
Exactly, jamaa mimi pia nilianza kumsikia akiwa Magic.
Kwangu mimi George ni mchambuzi pekee anayeweza kula airtime yangu.
au mbwiga wa mbwiguke je?Toa Shafii weka Luambano
1. George ambangile wengine ongezea ila bila george ambangile orodha ni batili1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Kwa Oscar bure kabisa, bora angeacha tu kuchambua1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Labda hamfahamu
Kawabwa wa wasafi ndiyo mchambuzi mbovu na mwenye uelewa mdogo katika historia ya wachambuzi Tz.1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
yule sijawah muelewa, hata akihoji mtu anauliza maswali yakipuuzi, unataman kupasua remotiKawabwa wa wasafi ndiyo mchambuzi mbovu na mwenye uelewa mdogo katika historia ya wachambuzi Tz.
ushabiki unamponza... mayai ni mchezaji wa zamani wa yanga... lakini huwa anongea uchambuzi wa kweli hata kama inacheza yanga... hana mambo ya ushabikiKuna huyu jemedali said mbn hatajwi au uwezo mdg