naona unajipigia chapuoHii nimeielewa ila kuna jamaa anaitwa James Samuel hapo Azam Media...sijui mnamchukuliaje wadau?
Ni kweli mkuu shafii dauda ni mchambuzi mzuri sana lakini kujua kama ni mchambuzi mzuri inahitaji ubongo mkubwa kama tundulisuTatizo la Shafii maelezo marefu mno halafu wenye akili tu ndio tunaweza kumwelewa mtu kama una ubongo mdogo huwezi mwelewa shafii
Tatizo la Shafii maelezo marefu mno halafu wenye akili tu ndio tunaweza kumwelewa mtu kama una ubongo mdogo huwezi mwelewa shafii
Mtu asiyejua au kuzngatia miongozo ya kaz anawezaje kufanya kaz vizuri?Ni kweli mkuu shafii dauda ni mchambuzi mzuri sana lakini kujua kama ni mchambuzi mzuri inahitaji ubongo mkubwa kama tundulisu
Ally kamweYule dogo mwembamba anavaaga miwani wa Azam TV sijui anaitwa nani. Kwangu mimi anaenda sambamba na Ally Mayay
Yule tall sana naye anajitahidi, japo anakwama kwama sana kwenye kuongea + manjonjo mengi
Exactly jamaa Yuko vzrKwenye list namtoa Maulid kitenge namweka Tigana lukinja(ticha)-East Africa radio
Asante sana, yuko vizuri huyu dogoAlly kamwe
Harafu we jamaa yaani Kitenge nae ni mchambuzi wa mpira,we jamaa uko serious kweli?1. Edger Kibwana ( Clouds FM)
2. Mwl Kashasha( TBC FM)
3. Malegesi Nyamaka ( RFA)
4. Oscar Oscar ( EFM)
5 .Mlipili ( RFA)
6. Yahya Njenge ( Clouds FM)
7. Ally Mayai ( Azam TV)
8. Ibrahimu Masoud ( EFM)
9. Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10. Shafihi Dauda( Clouds FM)
Hahahaha, jamaa shabiki wa timu gani ?ushabiki unamponza... mayai ni mchezaji wa zamani wa yanga... lakini huwa anongea uchambuzi wa kweli hata kama inacheza yanga... hana mambo ya ushabiki
Huyo jamaa mpeni zawadi yake hn mpinzaniKwa maelezo uliyoyatoa toka mwanzo nilijua unamzungumzia jamaa.
Mwenyewe mara ya kwanza kumsikia ilikuwa hivi hivi, mpaka nikawauliza wadau kumhusu jamaa.
Hahahaha, kuna yule Domina Kinyaiya bado anatangaza sijui kuchambua mpiraJamaa anajua, kuna siku nilimsikia anafanya uchambuzi wa mechi za ile ligi waliyoianzisha kwa kuiga Ndondo, jamaa anachambua utadhani ni ligi kubwa.
Hahahaha, hata huyu?au mbwiga wa mbwiguke je?
Hahahaha, kuna yule Domina Kinyaiya bado anatangaza sijui kuchambua mpira
Huyo jamaa mpeni zawadi yake hn mpinzani
Huwa nasikilizaga hz redio online wakitangaza mpira huyu yupo sijui ni sibuka au Uhuru km sijakoseaHuyu simfahamu aisee.
Kila Niki soma hz post jamaa yuko vzr,km boss wake wanasoma huu Uzi au yy mwenyewe, anajisikia raha sanaUmeona eeh!
Jamaa ametisha sana.
Kila Niki soma hz post jamaa yuko vzr,km boss wake wanasoma huu Uzi au yy mwenyewe, anajisikia raha sana