ze-dudu wasikilizaji wa magic FM Ni wachache ukilinganisha na Wasafi media Ina watu wengi lazima iwe hivyo ila tukiachana na Hilo George ambangile Ni fundi aisee Wala haitaji maelezo mengi.najiuliza tu ambangile angekua bado magic fm mashabiki mngempigia chapuo namna hii?
Naunga mkono hojaTofautisha:
1. Wachambuzi e.g. Edo Kumwembe
2. Watangazaji/Wandishi wa habari za michezo e.g. Maulid Kitenge
Wengi wanaweka kapu moja. Hii si sawa hata kidogo.
Hakuna muwanzilishi wa ndondo kwenye hizi media ndondo Ni michuano ya muda mrefu wote shaffihdauda na Wasafi wameiga.
Don Clericuzio Ila mzee unampenda George ambangile wewe uzi nyingi lazima umzungumzie ila kiukwel jamaa yupo vizuri me nilianza kumfahamu kwenye magic FM kunakipindi kilikuwa kinaanza kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 11 na nusu hiko kipindi nilikuwa nakipenda Sana baada ya hiko kipindi ndio kinakuja session ya michezo na george ambangile Mara nyingi nilikuwa naishia saa 11 na nusu jioni so session ya michezo sikuwahi kukisikiliza ila siku moja nilivyoanza kusikiliza ndio nikaanza kupenda uchambuzi wa George ambangile, na tokea nianze kumsikiliza huyu mwamba ndio nikaona napoteza muda wangu bure kuwasiliza wachambuzi average wa sports extra.Na kinachonifurahisha zaidi sasa hivi amepewa muda zaidi pale Wasafi media maana kipindi kina masaa ma3 kuchambua habari za ndani na international wakati akiwa magic FM alikuwa amepewa nusu saa tu za uchambuzi Tena kwenye international tu.Uko nje ya topic.
Don Clericuzio Ila mzee unampenda George ambangile wewe uzi nyingi lazima umzungumzie ila kiukwel jamaa yupo vizuri me nilianza kumfahamu kwenye magic FM kunakipindi kilikuwa kinaanza kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 11 na nusu hiko kipindi nilikuwa nakipenda Sana baada ya hiko kipindi ndio kinakuja session ya michezo na george ambangile Mara nyingi nilikuwa naishia saa 11 na nusu jioni so session ya michezo sikuwahi kukisikiliza ila siku moja nilivyoanza kusikiliza ndio nikaanza kupenda uchambuzi wa George ambangile, na tokea nianze kumsikiliza huyu mwamba ndio nikaona napoteza muda wangu bure kuwasiliza wachambuzi average wa sports extra.Na kinachonifurahisha zaidi sasa hivi amepewa muda zaidi pale Wasafi media maana kipindi kina masaa ma3 kuchambua habari za ndani na international wakati akiwa magic FM alikuwa amepewa nusu saa tu za uchambuzi Tena kwenye international tu.
Nakufuatilia ktk hii madaGeorge Ambangile ni mchambuzi bora wa michezo (mpira wa miguu) kwa maoni yangu.
Sports Extra ni kipindi bora cha michezo Tanzania, kwa maoni yangu.
George angekuwa Clouds FM angeweza kuwa mile kadhaa zaidi ya alipo.
Nakufuatilia ktk hii mada
Ni coutinhoNilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.
Uko sawa lknHahaha, mkuu ni mtazamo binafsi lakini.
Uko sawa lkn
Hahahaha, mm sports zote wanangu, km ukitaja jina langu wote hao mnaowataja humu 50% wananijua na ninawajuaSawa mzee mwenzangu, wewe najua Sports Extra ni wanao, huwezi kuwakataa.
Hahahaha, mm sports zote wanangu, km ukitaja jina langu wote hao mnaowataja humu 50% wananijua na ninawajua
Hahahaha, safi ,mm soka la bongo ,sio mgeni ni bonge la mdau ,Nina vijana wangu ktk sports show ,sports dept Karibu za media house zoteVizuri sana mkuu.
Ndo burudani zetu hizi.
Hahahaha, safi ,mm soka la bongo ,sio mgeni ni bonge la mdau ,Nina vijana wangu ktk sports show ,sports dept Karibu za media house zote
Ndio maana nasoma huu Uzi kwa umakini mno
Hahahaha, nasoma tu maoni ,mpira umenipandisha ndege na uheshimuSafi sana mkuu, kweli wewe ni mdau wa hizi mambo.
Hahahaha, nasoma tu maoni ,mpira umenipandisha ndege na uheshimu
Sports extra ni kipindi ambacho kinareport habari za michezo sio wazuri kwenye uchambuzi na me hapo kabla nilikuwa nikiangalia kwasababu tu ya shaffihdauda tu ukitoa shaffihdauda Hakuna mwingine mwenye kujua kufanya uchambuzi kingine zaidi uchambuzi wenyewe wanafanya kidogo Bora ungesema sports HQ kidogo wapo vizuri kuliko sports extra.George Ambangile ni mchambuzi bora wa michezo (mpira wa miguu) kwa maoni yangu.
Sports Extra ni kipindi bora cha michezo Tanzania, kwa maoni yangu.
George angekuwa Clouds FM angeweza kuwa mile kadhaa zaidi ya alipo.
Sports extra ni kipindi ambacho kinareport habari za michezo sio wazuri kwenye uchambuzi na me hapo kabla nilikuwa nikiangalia kwasababu tu ya shaffihdauda tu ukitoa shaffihdauda Hakuna mwingine mwenye kujua kufanya uchambuzi kingine zaidi uchambuzi wenyewe wanafanya kidogo Bora ungesema sports HQ kidogo wapo vizuri kuliko sports extra.