Don Clericuzio Ila mzee unampenda George ambangile wewe uzi nyingi lazima umzungumzie ila kiukwel jamaa yupo vizuri me nilianza kumfahamu kwenye magic FM kunakipindi kilikuwa kinaanza kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 11 na nusu hiko kipindi nilikuwa nakipenda Sana baada ya hiko kipindi ndio kinakuja session ya michezo na george ambangile Mara nyingi nilikuwa naishia saa 11 na nusu jioni so session ya michezo sikuwahi kukisikiliza ila siku moja nilivyoanza kusikiliza ndio nikaanza kupenda uchambuzi wa George ambangile, na tokea nianze kumsikiliza huyu mwamba ndio nikaona napoteza muda wangu bure kuwasiliza wachambuzi average wa sports extra.Na kinachonifurahisha zaidi sasa hivi amepewa muda zaidi pale Wasafi media maana kipindi kina masaa ma3 kuchambua habari za ndani na international wakati akiwa magic FM alikuwa amepewa nusu saa tu za uchambuzi Tena kwenye international tu.