Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Sio ajabu,mikia mshakaa miaka 5 bila ubingwa,so kuna watu walianza form 1 hadi 5 bila kolo kuwa bingwaKuna mtu alisema kuna watu wameanza form one hadi wanamaliza form 4 hawajawahi kuisikia yanga ikichukua ubingwa.
Na kuna hati hati wakaanza form V na VI bila kushuhudia yanga ikipata ubingwa.
Miaka yote uwa inatokea kuanzia round kolo wakianza fitna,msimu huu kuanzia match ya kwanza kolo mmeanza kulalamika,then ndio mmeanza yale machezo mapema but this time Yanga ina watu kweli kweli mje na ndani ya uwanjaGari limewaka utazidondosha Hadi ukome
Aise sikuwa sehemu ya mtandao now nipo hewani nakuta hawa watoto wa Namungo wameamua kutoa sare
Huko kwa malkia ndo nimekula nne acha kabisa, nina siku mbaya sana ofisiniNaona kule kwa Malikia nako hali ni tete,mtani leo mshukuru Refa,ulikuwa na W’end mbaya sana [emoji3][emoji3]
Aya sawaYaani unatetea ufala. Ndiyo maana kimataifa mnapoteana.
Aya sawaAcha kupamba mavi maua moloko hajakulia academy ni katoka Congo viwanja Kama vyetu tu
Farid musa usahawahi muona anavyokichafua ndondocup
sofascore.comWale wa simu tucheki kupitia stream gan???
Yeye sasa hivi ni mtu wa kunya kunya tuSijui leo manara atakuja na style ipi pira bokoboko au pira makande
Hivi mavi yake ni mazeruzeru pia?Hahaha Hajinalisema ataji saidia hadhari mbele ya watu wazima kinyesi cha mafungu mafungu [emoji38][emoji38][emoji38]
Akuueni nani nanyi sasa hivi mnachoweza ni kunya mafungu mafungu tuMbumbumbu washenzi sana. Mara hii tu mmeshasahau mnavobebwa? Ndo tumepewa penalty sasa tuueni.
.Hii ndio Yanga ninayoifahamu Mimi.
Ishakata pumzi mapema kabisa.
Na bado kidogo tu.
Malalamiko kwa TFF yataanza rasmi.
Nipo hapa napata Castre Light kwa tabasamu tele.
Moto wa Simba ndio kwanza unaanza kuwaka.
Labda uende ukachungulie ktk choo yake
Ngoja nimuulize Mzee Tozi anayefukua huo mtaroLabda uende ukachungulie ktk choo yake
Utaliweza pira la kispanyiola? Muulize .RuvuTunajua tutazipata kwa kolokwinyo point tulizodondosha leo
Kweli kabisa kama mbeleko za jana lazima uchukue ubingwa mwaka huuMiaka yote uwa inatokea kuanzia round kolo wakianza fitna,msimu huu kuanzia match ya kwanza kolo mmeanza kulalamika,then ndio mmeanza yale machezo mapema but this time Yanga ina watu kweli kweli mje na ndani ya uwanja