Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Pole!!! Namungo 1 Utopolo 0!!!!! Mayele kawa mapele!!! Hakuna jinsi, indiketa iliwashwa jana, mlikuwa mnapasha siti yetu joto, itabidi mtupishe!!!! Usiyempenda kawasha indiketa!!!!
 
Mayele kafichika jamani ehh
Yule jamaa ni box la sungwi tu,hana maajabu yoote. Wale wazee wa Mayele style sijui wako wapi.

Nadhani baada ya hii mechi lile swala la Uto kujihakikishia ubingwa litaisha sasa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hatimae ***** walahi
 
Refa kaamua kuchagua namba 1, na namba 3 japo leo msela hajashika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…