Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Mkuu Ilikuwaje? Sio Goli halali?
Tunataka Tufaidi na sisi!
Ila Kama Na mimi Nimeumia vile kwa jinsi ninavyosoma comments za watu!
Jamaa kacheza mpira wakati feisal akikokota ndani ya box,refa akafunika!
 
Hamna siku nimeumia kama leo japo si timu yangu. Yani refa fwalaa kabisa hyu yani kwa namungo alichezewa madhambi akona ni fair haitoshi na red card katoa. Huyu atatolewa nguvu za kiume ndo dawa yake.
 
Huyu mchezaji aliyeingia na filimbi uwanjani ni wakumuangalia sana, namungo wakizembea anaweza akawatia bao la pili
 
Hashimu manyanya kawadonoa donoa vyenga vyura mpaka kachezewa rough
 
Mbeleko fc mna la kutueleza tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…