Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Ligii kuu Tanzania Bara: Namungo FC 1-1 Yanga SC

Makambo kagusa mpira mara ngapi?

Ila alikuja kwa mikwara tuache utani
 
YANGAAAAA YANGAAAAAA MMMEZIDIWA KILA KONAAAA YANI KILA KONAAAAA HIVI MNAELEWAAAA KWAMBA MMEBEBWAAAA HII HATA ASIEJUA MPIRA AMEONAAA.
 
Nakuruhusu fatilia vizuri humu utanijua ni shabiki wa timu ipi. Nafuria kupata point lakini ukweli utabakia pale pale refa katubeba kwa mbelrko ya chuma mkuu
Inawezekana wewe ni Yanga fake...wako wengi wa aina hiyo...
 
Hii ni timu yenye kubebwa sana na waamuzi lakini wanaongoza kulalamikia waamuzi,TFF na hata bodi ya ligi.

Leo mmetia aibu sana na mwamuzi wenu aliyewapa penalty na kuwanyima Namungo penalty mbili.

Huyu mwamuzi asipoadhibiwa ataligharimu soka.
Nimeona baada ya penalty kutolewa washabiki wengi walidharau mechi na kuanza kuondoka hapa kibanda umiza
 
Mumshukuru refa kaokoa jahazi,bila hivyo mngeanza lawama kws tff na Mwakalebela.
Hivi bao lenyewe wamepata dakika ya tisini na ngapi?!

Eti ni kweli kwamba na wenyewe wametugelezea staili yetu ya kupata goli dakika ya 97?!!

Mi nauliza tu lakini...
 
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara.

Je, Nani Kuibuka Na Ushindi Ni Namungo au Yanga, Majibu yote ni Baada Ya Dakika 90 kumalizika Kuanzia Saa 10 kamili Jioni Ya Leo.

Baada ya Maneno Mengi na Maswali Mengi ya Fair Competition Nini kitatokea Leo?

Tuwe hapa kwa Dakika 90
Yanga wamlipe kummalizia pesa yao mwamuzi aliyewabeba

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni timu yenye kubebwa sana na waamuzi lakini wanaongoza kulalamikia waamuzi,TFF na hata bodi ya ligi.

Leo mmetia aibu sana na mwamuzi wenu aliyewapa penalty na kuwanyima Namungo penalty mbili.

Huyu mwamuzi asipoadhibiwa ataligharimu soka.
Nimeona baada ya penalty kutolewa washabiki wengi walidharau mechi na kuanza kuondoka hapa kibanda umiza
Hela ya GSM inaharibu sana ligi yetu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom