Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Kesho ni nani na Mohammed Enterprises?HT: GSM 0 - 1 QUALITY GROUP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho ni nani na Mohammed Enterprises?HT: GSM 0 - 1 QUALITY GROUP
Superdoll v Mohamed EnterprisesKesho ni nani na Mohammed Enterprises?
Watanzania tusijifanye tunajua kilakitu!Si ongei kwa ushabiki,marefa wa Tanzania wanamaamzi ya kinyumenyume,ndio maana hata timu ya Taifa tunachagua wachezaji wasio nakiwango nakudhani ni wazuri kumbe mbeleko ya marefa.Mwenye akili ataelewa namaanisha nini.
yaani ujawaelewa hawa mkuu!Hivi matopeni wameisha leta marefa toka nje ya nchi na kuwalipia nauli na posho ili wachezeshe fair game kwenye mechi zao kuanzia kesho Morogoro?
Wale wa Zanzibar walitoka nchi gani vile?
yaani ujawaelewa hawa mkuu!
refa yeyote atakayechezesha mechi ya yanga na ikatokea yanga ametoa sare au kufungwa, kwa mujibu wao huyo ndio refa mzuri..
ikitokea refa huyohuyo achezeshe mechi ya yanga na yanga sc ishinde, basi huyo ni refa mbaya na hafai kuchezesha ligi ya bongo...
kule zenji ni kutokana na yanga sc ametoka mapema ndio maana marefa wa kule hatujasikia wakilaumiwa, ila yanga angetinga hadi fainali kwa matokeo chanya ,basi hizo lawama ambazo marefa wa vpl zingewashukia wao pia...