johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Huyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hii tumsaidieje? Mbona Amalia liaMbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.
Maendeleo hayana vyama!
Suti na perfume kajifunzia cdm,imempa pesa magari nyumba mke mashamba sema hulka yetu waswahili kutokuwa na shukrani,bila cdm asingeweza kuvipata.Angekuwa kijiweni anaendesha bodabodaHuyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
View attachment 1458858
Ye amevuna ngapi cdmMbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.
Maendeleo hayana vyama!
Tena kwa awamu hii wameproof failure kabisaHalafu ndio mnasema vijana wapewe nafasi!
Bora kina Mzee Lubeleje waendelee kuwa wabunge maisha si kwa vijana wa sampuli hii!
Umenifanya nichefuke roho na kupata hasira, siku zote masikini ndio mwenye dhambi kwa sababu uongo ni yeye,uchawi ni yeye,roho mbaya ni yeye,chuki ni yeye, Uroho ni yeye na visasi ni vyake,Huyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
View attachment 1458858
Kwani Mbuyu nao ulianza kama mchicha!Huyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
View attachment 1458858
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Mbuyu nao ulianza kama mchicha!
Basi sawa, pongezi nyingi kwake kwa kubeba CDM.Atulie basi kulinda hiyo heshima yake ya kubeba chana. Hata nape naye aliwahi kusema aliitoa CCM shimoni.Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.
Maendeleo hayana vyama!
Amesahau alikotoka... kabla ya CDM alikuwa nani? Waswahili wana msemo "ukitaka kujua mtu kashiba ni pale anapoachia mashuzi..."Suti na perfume kajifunzia cdm,imempa pesa magari nyumba mke mashamba sema hulka yetu waswahili kutokuwa na shukrani,bila cdm asingeweza kuvipata.Angekuwa kijiweni anaendesha bodaboda