Lijualikali: Mimi ndio nimeitoa CHADEMA mbali na kuifanya ijulikane Kilombero, watu walikuwa hawaijui

Lijualikali: Mimi ndio nimeitoa CHADEMA mbali na kuifanya ijulikane Kilombero, watu walikuwa hawaijui

Unajuaje kama CCM hawatampeleka kugombea Kawe?
CCM hawamsimamishi Jua kali popote hayupo kwenye list ya wale walioingia ccm kwa makubaliano maalumu.

Waitara mwenyewe CCM wanampiga chini sembuse huyu Lijuakali aliyejileta CCM kwa machozi ya mamba?
 
Huyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
View attachment 1458858
Labda
IMG_20200519_101105.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kweli Jua kali,hahahaha. Zamani alikuwa na njaa ya pesa na akili sasa amebakiwa na njaa ya akili hivyo muda si mrefu atarudi kule kule kwenye njaa ya pesa na akili
 
Hivi hapa nani aliyetolewa mbali kila kitu kachangiwa wengine waliuwawa,ni walemavu walifilisika sababu yake.
 

Attachments

  • FB_IMG_1590350642132.jpg
    FB_IMG_1590350642132.jpg
    28 KB · Views: 8
Ukishaibomoa image yako kwenye Jamii ni ngumu Sana kuirudisha.
Walioendelea ulinda Sana image kuliko hata shibe thus awafi njaa , sisi tunalinda shibe kuliko image then tunaishia kufa njaa
Huyu kweli Jua kali,hahahaha. Zamani alikuwa na njaa ya pesa na akili sasa amebakiwa na njaa ya akili hivyo muda si mrefu atarudi kule kule kwenye njaa ya pesa na akili
 
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.

Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.

Maendeleo hayana vyama!
ACHA KUPOTOSHA!

Lijualikali hajasema hivyo. Watu wakasikilize clip badala ya kulishwa matango pori.
Kasema chama ni watu, na ni nguvu za watu ndiyo zinakipeleka chama mbele. Si sahihi kusema CHADEMA imewatoa wanachama mbali, bora useme wanachama wameitoa CHADEMA mbali, which is very logical!

Lijualikali alichosema ni kweli CHADEMA imemtoa mbali, lakini hata yeye ana mchango kwa CHADEMA, kwa hiyo na yeye ameitoa mbali.
 
Snitch,
Kashindwa kulinda hata siri ndogo aliyonayo chakushangaza anaweza pewa nafasi muhimu ndani ya nchi.

Lissu (another snitch of Tz).
We have so many snitches in our country.
Kwa awamu inawezekana Kama waitara kapewa kwann yeye si bidii yake tu kuimba chorus.Ukiwa muimbaji mzuri usipopata teuzi awamu hii ya umasikini utotoka milele
 
ACHA KUPOTOSHA!

Lijualikali hajasema hivyo. Watu wakasikilize clip badala ya kulishwa matango pori.
Kasema chama ni watu, na ni nguvu za watu ndiyo zinakipeleka chama mbele. Si sahihi kusema CHADEMA imewatoa wanachama mbali, bora useme wanachama wameitoa CHADEMA mbali, which is very logical!

Lijualikali alichosema ni kweli CHADEMA imemtoa mbali, lakini hata yeye ana mchango kwa CHADEMA, kwa hiyo na yeye ameitoa mbali.
Cdm ni sawa na siti ya daladala huwa haina mwenyewe ukishuka anamiliki mwingine.Akagombee ccm atapata kwa msaada wa police
 
Wanasiasa wetu bado wanayonafasi ya kujifunza namna ya kuishi na kufanya siasa kwenye nchi zetu hizi changa zenye katiba mbovu.

Leo hii Rais Magufuli akikoma kua mwenyekiti wa ccm utaona atakavyoanza kunyenyekea chama na kujishusha sababu anajua yeye siyo chochote wala lolote mbele ya chama na mwenyekiti...Urais amedhaminiwa na chama.

Uwezi ukawa juu ya chama wala mwenyekiti ukadumu; wenye upeo wanajua hilo; akawaulize akina Nape na babu Kinana wanajua vizuri nguvu ya mwenyekiti.

Pia wanaoomba nafasi ya kujiunga kwenye ccm ya sasa ya Rais Magufuli na baadhi ya watu wachache wajue kua nafasi itakua ni temporary kwa ajili ya kuimaliza Chadema nguvu...ndani ya ccm ndo kubaya zaidi watu wanawindana balaa.
Wengine wanalia na machozi yanaenda na maji...bado namwona Lau Masha kua anaweza kufanya siasa popote pale make hana maneno mengi ya shombo siku hizi dunia imeshamfunza.

Nakumbuka maneno ya Dr. Ole pale Bungeni kupindi cha uchaguzi wa spika dhidi ya Nape baada ya Nape kuulipa swali la kipuuzi.
Dr. Ole akamjibu Nape kua wewe bado mtoto hujui siasa nimekusamee..Lakini baadae Nape alipewa sharti ya kutembea kwenye jua kali kwa mguu anafuta jasho kwenda ikulu kuomba msamahaa..
Vijana kueni na adabu kwenye siasa...katiba zetu bado changa na badala la kuipigania katiba kuzibadilisha mnapigania matumbo yenu.
 
Back
Top Bottom