Lijualikali: Mimi ndio nimeitoa CHADEMA mbali na kuifanya ijulikane Kilombero, watu walikuwa hawaijui

anaweza kulia muda wowote akiomba ajira
 
Naona kama Lijualikali anaelekea kuchanganyikiwa au labda anapewa ushauri ambao kimsingi anajimaliza mqenyewe kisiasa.

Mtu umeisha hama chama tayari yanini sasa kuendelea na malumbano yasiyo na tija kwa afya ya walio kuchagua?

In God we Trust
 
Mbinu ya kumfurahisha mkulu kwani anapenda ushilawadu
 
Basi this round kwasababu CCM hawawezi kumsimamisha agombee hata kwa tiketi ya TLP alafu tuone atakavyoifanya TLP kujulikana hapo Kilombero.
 
daa huyu lijualikali sijui kimempata nini, lijualikali ninaye mjua sio huyu!, isije ikawa CCM wamempiga 'mbilinyungu' ya hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…