johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #41
Unajuaje kama CCM hawatampeleka kugombea Kawe?Basi this round kwasababu CCM hawawezi kumsimamisha agombee hata kwa tiketi ya TLP alafu tuone atakavyoifanya TLP kujulikana hapo Kilombero.
CCM hawamsimamishi Jua kali popote hayupo kwenye list ya wale walioingia ccm kwa makubaliano maalumu.Unajuaje kama CCM hawatampeleka kugombea Kawe?
hawampotezi bali ni maamuzi yake sahihi ya kuachana na saccos ya mbowe kwenda chama kinachojenga uchumi wa nchi na kuboresha maisha ya watanzania.Wanampoteza sana hao kina pole pole
In God we Trust
LabdaHuyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
View attachment 1458858
Lijualikali atapambanishwa na Mbatia pale Kawe!CCM hawamsimamishi Jua kali popote hayupo kwenye list ya wale walioingia ccm kwa makubaliano maalumu.
Waitara mwenyewe CCM wanampiga chini sembuse huyu Lijuakali aliyejileta CCM kwa machozi ya mamba?
Na kamwe mchicha hauwezi kuwa kama mbuyuKwani Mbuyu nao ulianza kama mchicha!
Both Mbatia na Lijualikali watatoka kapa.Lijualikali atapambanishwa na Mbatia pale Kawe!
daa huyu lijualikali sijui kimempata nini, lijualikali ninaye mjua sio huyu!, isije ikawa CCM wamempiga 'mbilinyungu' ya hatari
Huyu kweli Jua kali,hahahaha. Zamani alikuwa na njaa ya pesa na akili sasa amebakiwa na njaa ya akili hivyo muda si mrefu atarudi kule kule kwenye njaa ya pesa na akili
ACHA KUPOTOSHA!Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa awamu inawezekana Kama waitara kapewa kwann yeye si bidii yake tu kuimba chorus.Ukiwa muimbaji mzuri usipopata teuzi awamu hii ya umasikini utotoka mileleSnitch,
Kashindwa kulinda hata siri ndogo aliyonayo chakushangaza anaweza pewa nafasi muhimu ndani ya nchi.
Lissu (another snitch of Tz).
We have so many snitches in our country.
Cdm ni sawa na siti ya daladala huwa haina mwenyewe ukishuka anamiliki mwingine.Akagombee ccm atapata kwa msaada wa policeACHA KUPOTOSHA!
Lijualikali hajasema hivyo. Watu wakasikilize clip badala ya kulishwa matango pori.
Kasema chama ni watu, na ni nguvu za watu ndiyo zinakipeleka chama mbele. Si sahihi kusema CHADEMA imewatoa wanachama mbali, bora useme wanachama wameitoa CHADEMA mbali, which is very logical!
Lijualikali alichosema ni kweli CHADEMA imemtoa mbali, lakini hata yeye ana mchango kwa CHADEMA, kwa hiyo na yeye ameitoa mbali.