Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hii Ni sera ya kiulinzi ya taifa la israel na jeshi lake ambayo inasisitiza na kutamka wazi kuwa ikiwa Israel itashambuliwa na aui na hapohapo marafiki zake wakubwa kama USA uk German Italy France na Canada hawatamsaidia wakiona taifa la Israel linakaribia kuangukia mikononi mwa adui huku rafiki zake wakiwa Hawafanyi lolote basi ataamua kufanya Kama Samson mnadhiri wa mungu alivyofanya
Israel itazitwanga nchi hizo rafiki mabomu ya nuklia ili waangamie wote na ndio maana wakaipa sera hiyo chaguo la Samson au kwa kimombo the Samson option which is a massive nuclear deterrence and strikes to his friends who failed to help him so he will choose to go down with them all.
Kwa kulijua Hilo na kuliogopa ndio maana USA na washirika wake hawawezi kuacha Israel iangamie wataisaidia tu kakuogopa hiyo sera ya samon option karibuni kwa nyongeza