Lijue Jeshi linalompa kiburi Yahya Jammeh

Mkewe kama vile ana asili ya morocco,nadhani morocco watamuhifadhi jammeh,

Hawezi kwenda Nigeria kwa kuwa ana kumbukumbu ya charles taylor,Nigeria walimrubuni kumpa hifadhi,kumbe wamemuwekea mtego anaswe na ICC..

Na yule mama wa ICC kwao ni Gambia ,nadhani atatoa arrest warrant faster
 
Duh! Mkuu mbona unaongea kama wale vijana vwetu wa division five!
Unawezaje kuingia jf na kuandika kitu ukashindwa kuigoogle ramani na kuiona Gambia ilivyo na Senegal! Kwa kifupi na kama Lesotho na South Africa tofauti yenyewe ina kaupenyo ka bahari.
Kweli miafrika ndivyo tulivyo, kwanin, kwanin bado tuna walimu wanatufundisha while kila kitu kipo kwny gugo?
 
Hapa ndipo penye elimu zaidi
Kwahyo JF ndo penye elimu zaidi? Km ushaweza kuingia JF hadi ukauliza swali km hilo, umeshindwa nn kwenda gugo?

Na bado unaendelea na ubishani wakati huo muda ungekua ushaenda gugo. Ujinga si hadi ufeli darasani.
 
Huyu jamaa aliona ugumu gani kuachia madaraka aende nae msoga kwao akalime mananasi
 
Kwahyo JF ndo penye elimu zaidi? Km ushaweza kuingia JF hadi ukauliza swali km hilo, umeshindwa nn kwenda gugo?

Na bado unaendelea na ubishani wakati huo muda ungekua ushaenda gugo. Ujinga si hadi ufeli darasani.
Kubishana co shm ya traits zangu, hapa ungenielewesha kwa kufocus on both geographical and historical arguments, n kwanin Gambia icwe sehemu ya Senegal, tofauti zao n zp hapo hasa kijamii, nliomba kuelimisha co kwmb ramani cjaangalio, bali uwezo wangu mdg wa kuelewa ndio ulionifanya ntafute majibu hpa jf.
 
sio mamba , sio simba sio jammeh. mwenyewe anatosha kujigamba
 
Kama umeiona ramani unadhani ile ni gulf au peninsula? Swali lako limemaanisha geographical features.

Na ulivyozitaja ni kuwa unazifahamu unahitaji tu kujua Gambia ni ipi kati ya hizo mbili.
 
Kama umeiona ramani unadhani ile ni gulf au peninsula? Swali lako limemaanisha geographical features.

Na ulivyozitaja ni kuwa unazifahamu unahitaji tu kujua Gambia ni ipi kati ya hizo mbili.
Cjamaansha kuwa lie ni gulf au pen', nmetolea mfano tu, mkuu we co wa msaada kwangu, kausha tu km vp
 
Ukweli Jamey hawezi kufua dafu kwa ECOMOG.
Kwanza wananchi wengi wa Gambia hawamtaki hivyo watawasaidia majeshi ya ECOWAS.
Vita yaTALIBAN ni Tofauti sana na ya GAMBIA.
Siku zote ukiwa Dikteta jiandae kutolewa kidikteta.
Jammeh alikuwa ni Mwanajeshi na Wanajeshi wote wa Gambia ni Masela wake ndio maana wanampa kibuli. Hao ECOWAS Watashinda ila watapata upinzani mkubwa sana. Na kwa historia ya ile nchi. Vurugu zitakuwa nyingi sana na huyo adama barrow hataweza kuongoza kwa amani
 
soma vizuri nilichopost na ulichopost na upost tena. Bado sijaelewa point yako ni nini.

Mtoa mada kasema ufinyu wa Jeshi na uduni wa vifaa vitafanya Gambia washindwe. Nilichomjibu ni kuwa unaweza kuwa na askari wachache na vifaa duni na ukaleta upinzani wa hali ya juu sana. Sababu vita si silaha bali mbinu na mikakati iliyobora
 
Aisee nilikuja Geita kipindi cha nyuma ukanikarim sana, ubarikiwe sana mkuu msalimie Mzee Mwita shemeji yangu.
Karibu tena mkuu wangu nitamsalimia njoo inbox Facebook au jf ili nijue ni nani ili nimwambie
 
Kwa jeshi hili hata mgambo wetu wa pale kariakoo wanatoa nduki.Ni mawazo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…