Lijue Kabila halisi la Edward Lowassa


Hiyo siyo maana yake.

Ukikaa Dar huwi Mzaramo.
 
Mtake! msitake! Habari ndo hiyo. Lowasa siyo Mmasai. Alilelewa kwa babu yake baada ya baba yake kumkana mama yake kuwa mimba aliyokuwa nayo ni yake. Baba wa mwanamke akamkubali mwanaye baada ya kulaghaiwa na jamaa aliyempa mama yake Lowasa ujauzito. lakini kiasilia jamaa Edward ni Mmeru. wanaokataa na wakatae,,, habari ndo hiyo! Wasalaamu
 
MI sioni ubaya wa kujaribu ku-clarify ukabila wa Lowassa. Sasa labda tu kujiuliza je kutokuwa Mmasai inamwongezea au kumpunguzia kitu? Kama ata-loose his identity that will be a poltiical and personal blow, lakini kama haitabadili utambulisho wake basi haina taabu.
Eeka Mangi mkuu, hiyo information uliyoweka hapa kisaikolojia naweza kusema kuwa EL ameathirika sana, hamna kitu kibaya kama kukanwa na baba, maybe that is why he always wants to prove himself and he is aggressive. Sometimes background information about someone tells alot about the present character. Pia labda ndo maana anapenda kukusanya sana mali kupindukia because he is insecure. Just some armchair psychology kwikwikwiiii!
 
kwa kuongezea ni kwamba EL alizaliwa arumeru sasa meru wakati huo baba yake akiwa tarishi wa baraza. inasemekana kwa jinsi mzee alivyokuwa akijipenda wakati akipeleka barua za wito kwa wananchi alikuwa akikwepa kushikana mikono hivyo kulazimika kutumia fimbo.aliwanyanyasa sana raia. wameru wakapanga njama za kuteketeza familia hiyo kwa kuchoma nyumba moto. kwa bahati nzuri habari hizi zikamfikia mzee Lowasa na hatimae akafungasha mizigo na familia yake wakatimka usiku kwa miguu kuelekea monduli! wakati huo EL alikuwa bado mdogo.kuelewa historia za viongozi ni jambo jema ili tuelewe walkotoka na malezi yao.
 

Is it? Kumbe EL ni "bastard"??? Kumekucha!!!
 
The issue, is not 'mmasai or mmeru'. the issue is 'ufisadi'. Anybody from any tribe can be like Lowasa. The act of pretending to be a masai boy can not wash out his sin.
 

Mtu yeyote anayetumia kabila au dini kama mtaji wake wa kisiasa huwa amefilisika kisiasa, haya aliyasema mwalimu Julius Nyerere tangu zamani.Iwapo Lowasa mradi wake mkubwa ulikuwa ni kabila basi hastahili hata kujadiliwa na watu makini hapa JF kwani alikwisha filisika kabla hata hajaanza. Nadhani hivi karibuni tutashuhudia anguko kubwa la wanasiasa njaa.
 
Wanakijiji sasa mnakwenda ndiko siko. Kwanza Teddy Lowasa hajaporomoko kisiasa kwenye siasa unakwenda hatua moja mbele na kurudi hatua mbili nyuma na huo ndio mwendo. Tabia ya kupenda mali sio ya Kimaasai wala Kimeru wanoweka pesa mbele tunawajua ila simtaji mtu. Wekeni rekodi sawa! Inasemekana marehemu JKN hakuwapenda sana kabila la Teddy ndio maana alimtoa nje kwenye zile mbio za BOY'Z to MEN alitembea nchi nzima akimnadi Mkapa ile ilikuwa hofu watu wa kabila hilo wasipate kushika nji. Hiyo ni sawa na kupigana na ukuta labda angeweka kwenye katiba. Hakuna mtu aliyetarajia Obama (Mjaluo) kuwa RAIS wa Marekani.
 
Asa mbona alipokuwa Waziri walikubali atumie kabila lao?? Au walikuwa hawajajua kuwa si mwenzao? Na kama ni ndio wamejuaje wamemchunguza au? walikuwa wapi miaka yote
 
Edward Lowasa ni mmeru aliyehamia masaini (Monduli).Habari kwamba Lowasa ni mtoto wa nje sidhani kama zina ukweli hila sipingani na wenye kuamini hivyo labda kama wataniletea uthibitisho usiona mashaka.
Baba yake lowasa alikuwa tarishi enzi za mkoloni mwingereza na kituo chake cha kazi kilikuwa ni huko masaini.Matarashi enzi hizo walikuwa wakivaa shati jeupe,kaptula na soksi ndefu.Mzee lowasa kutokana na mavazi yake wakati huo alionekana mbele ya macho ya jamii ya kimasaai kama anaringa.Kwa kimasaai elowasa ni maringo na huo ndiyo ukwa mwanzo wa mzee Lowasa kutumia jina hilo kama la ukoo wake.
 
Nadhibitisha hapa kuwa kaka zake Teddy Lowasa ni akina Ndosi na ukoo huo uko Meru na pia kuna wachaga akina Ndosi hilo halina uBISHI. Kwa Baba yake mzazi kumkataa ni kweli kwani sio mtoto wa ndoa ALIPATIKANA kiana na Baba yake alikuwa Bosi wake huyo mzee wa Kimeru kwenye ofisi ya Provisional Commissioner(PC) wa Northen Province kule Arusha kwa wakati ule na hilo halina ubishi labda mwenyewe TEDDY kwa vile yuko na anadunda full combat na ulinzi wa Waziri Mkuu MSTAAFU PERIOD! Kwa huu mzahaa wa JK tusishangae akaibukia kugombea uchaguzi kupitia chama fulani kama ule mkataba wao na JK hautatimizwa na hili laweza kutokea 2010 au tugawane nchi vipande vipande!
 
Ni kweli Lowassa ni Mmeru lakini mama yake ni Massai na ametokea monduli.
 
Naona utabiri wako wa 2010 ukaja tokea 2015 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…