"Like Father,Like Son" Mtoto wa Zari na Ivan Aanza Kuonyesha Jeuri Ya Pesa

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305
Wanasema "Like Father, Like Son" naona mtoto wa zari na aliyekua mpenziwe marehem Ivan Don, Raphael, ameanza kufata nyayo za baba yake baada ya kuonekana akiwa na mabunda ya hela huku akileta zile zile swagga za baba yake,

 
Unaweza kuwa na pesa lakini ukakosa furaha na amani moyoni.
Wenye pesa na fulaha moyoni huwa hawatambi kwa kuonesha pesa zao hadhalani hivi.
Wanajua kuna watu masikini wenye uhitaji wa hela wataumia mioyo yao kwa kuziona pesa wakati hawana uhakika wa mlo mmoja kwa siku.
Ivani alitamba sana na pesa zake lakini amekufa akiwa kijana na masikini aliowatambia bado wanaishi na ni wazima wa afya njema.
Kama unapesa za ziada basi saidia masikini na ndugu wenye uhitaji.
La sivyo akina Dangote wangemwaga mapesa yao barabarani ili watembee juu yake.
Mara nyingi pesa za maonesho ni pesa zenye mizengwe mizengwe na mizungu.
 
umeongea point mkuu
 
Loser
 
Ila hizo swagga mi huwa naona zimekaa kihaya...
[HASHTAG]#misifa[/HASHTAG]
 
Wewe ulioandika huna akili tulete mambo ya burdani au maendeleo hayo ni mambo yao wenyewe ya utajiri hayatuhusu
 
Maneno ya kujifariji.....mwenye pesa sio mwenzio hata asipokua na amani but sio mwenzio....hiyo amani asipokua nayo yeye basi watoto wake wataishi kwa furaha na amani.....Tafuta pesa kijana hayo maneno mengine ni kujifariji tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mimi pesa ninayo nimetoa maoni tu.
Kuishia kuonesha pesa kwenye mtandao ni ulimbukeni tu wa ujana.
Ulishaona wale matajiri watu wazima wenye busara zao wanaojulikana wanaonesha pesa hadharani mtandaoni ?
Sio vema kwa mtu mwenye busara kuonesha maburungutu hadhalani wakati kuna watu masikini hata uwezo wa kupata uji wa unga wa muhogo unawashinda.
Nazungumzia watu masikini na sio wewe na mimi, watoto wa mitaani, waliotelekezwa na familia, wakimbizi wa vita, wagonjwa.
Nenda Darful ukaone jinsi watu wanavyo jianika jangwani wakisubiri kufa kwa kukosa maji na chakula.

Nimesema Sio Vema Kwa Watu Wenye Busara Kufanya Hivyo, Nadhani Umenielewa.
 
Loser..
 
Bosi vipi...
Sema hizo ni Swaga za vijana na ni hiari yao kujitanua.
Mimi sio Loser nimetoa maoni tu
Au unataka nisema kama unavyopenda wewe ?
Humu tunatofautiana kimtazamo na ni vema tuvumikane tu.

Samahani kama nimekukera Mkuu
Samahani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…