Like Toefl n IELTS exams, Tanzania's UDSM to start offering international accredited Kiswahili language exams globally

Wazo nzuri sana hili, ila kikwazo itakuwa ni 'credibility'. Maanake UDSM ndio chuo kikuu ambacho watu huwa wanatoka na degree, masters na Phd zao ila utawasikia wakisema vitu vya ajabu ajabu, kama eti Muamar Ghadaffi alikuwa rais wa Yemen.
 
The laziest country in Africa. Hata kuandika hawajui. Mwandishi wa vitabu anaandika 'mfururizo' na ni mhitimu wa chuo kikuu
Umeanza tena. Ukiguswa kidogo tu unasusa na kuanza kulia lia. Unapotoa maneno ya ovyo kwa mwenzako ukianza kushughulikiwa vumilia.
 
evidence?
Boss, una uhakika kwamba unataka ushahidi wa Phd holder kutoka UDSM akisema kwamba Ghadaffi alikuwa rais wa Yemen? Mara ya mwisho nilipopost hiyo video hapa Jf ilifungwa kwa muda. Itisha tena uone nikichomoa betri. [emoji38]
 
Why do i need this certification ama, its to go study to states ama it will be for Tz only?
 
Why do i need this certification ama, its to go study to states ama it will be for Tz only?
wait and see my friend! It will be needed to wipe out individuals like u that claim to speak Kiswahili but cant even write a simple letter in Kiswahili! The market out there is big and Tanzania is taking a first step to ascend to its glory! FYI centers in Addis Ababa, Johannesburg, Paris, London and Berlin will be opened!
 
Why do i need this certification ama, its to go study to states ama it will be for Tz only?
see them learning in droves

see urself, even PHDs for ur people r confered at UDSM

The 10 PhDs from TATAKI during the just concluded graduation ceremony at the University of Dar-es-Salaam. The Kiswahili Department of the University of Nairobi says,"Kongole!"

Wazo nzuri sana hili, ila kikwazo itakuwa ni 'credibility'. Maanake UDSM ndio chuo kikuu ambacho watu huwa wanatoka na degree, masters na Phd zao ila utawasikia wakisema vitu vya ajabu ajabu, kama eti Muamar Ghadaffi alikuwa rais wa Yemen.
Watz wenyewe wawe wa kwanza kuhudhuria humo, maana uandishi wao wa Kiswahili hutia kichefuchefu.
 
Umeanza tena. Ukiguswa kidogo tu unasusa na kuanza kulia lia. Unapotoa maneno ya ovyo kwa mwenzako ukianza kushughulikiwa vumilia.
Ndio kawaida yake huyo 😂😂😂 siku hizi anaogopa kunireply maana anajua napiga penyewe anabaki kulia lia.
 
Kenyans will still beat you hands down
 
Why would i do my PHD at a university that doesnt have even a proper department for Kiswahili studies? Is the university even chartered?

ati kaimosi friends university college? who knows this college? Is this a school ama college?

Quality. Sasa standards mbovu za UDSM ndio unasifia? Umesema kwamba The UoN wana department tu, ila Department of Linguistics and Languages tu, ya chuo kikuu cha UoN inafunika UDSM yote. In terms ya quality na profesionalism ya alumni ambao wanachomoa. Yaani nisome UDSM ya sasa ndio niishie kufanya push up mbele ya umati na kuwalaumu wachawi? Are you serious? Umesikia wapi msomi wa level ya Phd duniani akinywa kikombe kimoja ambacho eti kitatibu magonjwa yote?
 
u see 10 phd awarded at once toa evidence ya the same for ur kiswahili department at UON!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…