So kuwa Makini...
Kumbuka kuna robots. Na hii imekaa kibiashara Zaidi.
Heading Can call you .. but the content can have U f.ked.
Unavutiwa na Heading.. unaliwa bundle... πππ
Au unavutiwa na Jina la aliye post... Kwa mfano Millard Ayo.
Unafungua unakuta ni UPUMBAVU MTUPU....
ANAHOJI WATU WAPUMBAVUUU...